Mzee Kagame yupo very smart, tembelea siku moja ukae hata siku tatu halafu urudi bongo land utajua hujuiJamani kwani huyu Kagame ana nini mbona anatutumia kama toilet paper kuanzia Tanzania,Congo&Ug.
Nilitegemea kutokana na Samia kuwa tawi la Kikwete basi mambo ya Kagame yatakuwa yamefika mwisho kumbe ndio kwanza kumekucha.
Hata Mimi mkuu ila sikitafuti kwanzaHaha ni mimi tu nimebaki humu sina hicho kitiki cha blue
Naskia umepewa tender na serikali kununua na kuleta lendcruiser mpya.Mimi niko verified bahati yao πππ
Umesema kweli kabisa mpaka bese byumba msituni kule kuna safishwa na ulinzi ni mkali kabisa.Mzee Kagame yupo very smart, tembelea siku moja ukae hata siku tatu halafu urudi bongo land utajua hujui
Ndio nini sasa labda,, kwamba wao Rwanda jeshi lao liko imara au,, we unaona ajabu Rwanda kuwa na majeneral 10 wakati vile vikundi vya waasi kule congo kila mtu general,, inategemea na namna wanavyopeana huo ugeneral ila sie hapa hatupeani tu ovyo ovyo,, huyo general wa Rwanda kiuwezo kwetu hapa kuruta tu,,, na sio kwamba miziki ya wabongo hawaijui, wanaijua vizuri tu,, kuwashinda lile genge la wale jamaa wasiokuwa na mafunzo yoyote kule msumbiji isiwe nongwa humu,, rejea kile kikundi chake cha m23 walivyotolewa mkuku na jeiwii.. nilichogundua watusi mnapewa bahasha humu ili mumpambe huyo jamaaa yenu, mana general mabeyo anakwenda sehemu nyingi tu, lkn kwenda Rwanda tu kelele zimeanza humuTz general ni mmoja tuu. Huko rwanda mageneral wapo kama 10 hivi.
Aseee
Ahsante sana sana. Nimekutana na komenti ya kiume na kizalendo......nilikuwa nashangaa tu mtoa mada na watu wake wanavyotililika upuuzi. Yaani humu mtu akiwa anamchukia raisi wa nchi hii basi atajitahidi kuponda kila jambo hata yale asiyoyajua. Eti kagame ana kikosi maalum kongo, hv tz ipo tangu lini huko?! Huko msumbiji kuna kikosi cha kagame peke'ake au ndicho kilichoamriwa kuripotiwa humu? Sadc waliamuaje kuhusu kule?!Ndio nini sasa labda,, kwamba wao Rwanda jeshi lao liko imara au,, we unaona ajabu Rwanda kuwa na majeneral 10 wakati vile vikundi vya waasi kule congo kila mtu general,, inategemea na namna wanavyopeana huo ugeneral ila sie hapa hatupeani tu ovyo ovyo,, huyo general wa Rwanda kiuwezo kwetu hapa kuruta tu,,, na sio kwamba miziki ya wabongo hawaijui, wanaijua vizuri tu,, kuwashinda lile genge la wale jamaa wasiokuwa na mafunzo yoyote kule msumbiji isiwe nongwa humu,, rejea kile kikundi chake cha m23 walivyotolewa mkuku na jeiwii.. nilichogundua watusi mnapewa bahasha humu ili mumpambe huyo jamaaa yenu, mana general mabeyo anakwenda sehemu nyingi tu, lkn kwenda Rwanda tu kelele zimeanza humu
Unajua huo uongo wenu kuwa eti ni tawi la jk ni uoumbavuJamani kwani huyu Kagame ana nini mbona anatutumia kama toilet paper kuanzia Tanzania,Congo&Ug.
Nilitegemea kutokana na Samia kuwa tawi la Kikwete basi mambo ya Kagame yatakuwa yamefika mwisho kumbe ndio kwanza kumekucha.
Sijawahi kuona Jeshi ambalo kwa sasa hapa Barani Afrika limejengwa kwa Misingi yote imara ya Kimedani kuanzia Nidhamu, Ujasiri, Ubunifu, Ukomavu, Umakini, Uweledi na utayari wa Kimapambano bila Kumuogopa sijui Adui yoyote Yule kama la Rwanda ( RDF )Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini Tanzania Jenerali Venence Mabeyo yupo ziarani Nchini Rwanda
Ziara hiyo itahitimishwa Agosti 26, 2021
TBC
View attachment 1906715
Pamoja sana mkuu,, na ukitaka kuamini hilo we pitia thread nyingi zinazomhusu yule jamaa, anaitwa majina mengi tu humu ya kumpamba,, mara master mind, mtu na nusu,rais wa Africa mashariki etc. Kuna watu wana agenda ya siri humu mana si promo hizi kwa Rwanda. Wakati hao wanyarwanda wenyewe wanatamani hata wawe watanzania na wanaopiga kelele wote humu watusi wanaoishi Tanzania. Ikiwa hicho kimkoa chenu cha Rwanda mnakisifia kama paradiso nendeni basi mkaishi huko na sio kutupigia kelele humu.Ahsante sana sana. Nimekutana na komenti ya kiume na kizalendo......nilikuwa nashangaa tu mtoa mada na watu wake wanavyotililika upuuzi. Yaani humu mtu akiwa anamchukia raisi wa nchi hii basi atajitahidi kuponda kila jambo hata yale asiyoyajua. Eti kagame ana kikosi maalum kongo, hv tz ipo tangu lini huko?! Huko msumbiji kuna kikosi cha kagame peke'ake au ndicho kilichoamriwa kuripotiwa humu? Sadc waliamuaje kuhusu kule?!
Nami naanza kuhisi kuwa itakuwa kweli kuna watusi humu na kijiajenda chao fulani........bado sana, endeleeni kujipanga!
Anakutumia wewe tu ,hizi nchi lazima ziashirikiane tuJamani kwani huyu Kagame ana nini mbona anatutumia kama toilet paper kuanzia Tanzania,Congo&Ug.
Nilitegemea kutokana na Samia kuwa tawi la Kikwete basi mambo ya Kagame yatakuwa yamefika mwisho kumbe ndio kwanza kumekucha.
General gani maana hata bongo mageral ni wengi sema huyu ndio kuiongozi wao CDF ,Tz general ni mmoja tuu. Huko rwanda mageneral wapo kama 10 hivi.
Aseee
Uliwahi kuwa askari huko Rwanda au upumbavu wako tu hapaSijawahi kuona Jeshi ambalo kwa sasa hapa Barani Afrika limejengwa kwa Misingi yote imara ya Kimedani kuanzia Nidhamu, Ujasiri, Ubunifu, Ukomavu, Umakini, Uweledi na utayari wa Kimapambano bila Kumuogopa sijui Adui yoyote Yule kama la Rwanda ( RDF )
Kweli kule msituni vikundi vya Rwanda, mageneral wa mitutu kibao, huenda Rwanda akawa na mageneral 100.Ndio nini sasa labda,, kwamba wao Rwanda jeshi lao liko imara au,, we unaona ajabu Rwanda kuwa na majeneral 10 wakati vile vikundi vya waasi kule congo kila mtu general,, inategemea na namna wanavyopeana huo ugeneral ila sie hapa hatupeani tu ovyo ovyo,, huyo general wa Rwanda kiuwezo kwetu hapa kuruta tu,,, na sio kwamba miziki ya wabongo hawaijui, wanaijua vizuri tu,, kuwashinda lile genge la wale jamaa wasiokuwa na mafunzo yoyote kule msumbiji isiwe nongwa humu,, rejea kile kikundi chake cha m23 walivyotolewa mkuku na jeiwii.. nilichogundua watusi mnapewa bahasha humu ili mumpambe huyo jamaaa yenu, mana general mabeyo anakwenda sehemu nyingi tu, lkn kwenda Rwanda tu kelele zimeanza humu
Hahahaaaa! kabisa, wandering tu ktk mkoa wao!Pamoja sana mkuu,, na ukitaka kuamini hilo we pitia thread nyingi zinazomhusu yule jamaa, anaitwa majina mengi tu humu ya kumpamba,, mara master mind, mtu na nusu,rais wa Africa mashariki etc. Kuna watu wana agenda ya siri humu mana si promo hizi kwa Rwanda. Wakati hao wanyarwanda wenyewe wanatamani hata wawe watanzania na wanaopiga kelele wote humu watusi wanaoishi Tanzania. Ikiwa hicho kimkoa chenu cha Rwanda mnakisifia kama paradiso nendeni basi mkaishi huko na sio kutupigia kelele humu.
Na mimi mkuu, na itanichukua muda mrefu kukipata.Haha ni mimi tu nimebaki humu sina hicho kitiki cha blue