wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Ebu ni msaidie[emoji116]ni endelee ama nisiendelee?
View attachment 1928069
View attachment 1928070
View attachment 1928071
Ndio yupi hapo??
Kwamba unabisha huyo sio Patrick Nyamvumba,?Utafiti kwanza kabla hauja comment!
Sasa Tz itaogopaje ka wilaya mkuu?Rwanda ni threat kwa nchi nyingi za Africa TZ ikiwemo.
Huu utafiti wako unaweza kutugawia chapisho lako na sisi tujifunze hasa vigezo vyako ulivyotumia mpaka kufikia hitimisho hili?Sijawahi kuona Jeshi ambalo kwa sasa hapa Barani Afrika limejengwa kwa Misingi yote imara ya Kimedani kuanzia Nidhamu, Ujasiri, Ubunifu, Ukomavu, Umakini, Uweledi na utayari wa Kimapambano bila Kumuogopa sijui Adui yoyote Yule kama la Rwanda ( RDF )