Taarifa kuhusu DJ sepetu interviews

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Tunapenda kujuza kwamba,

Kuanzia wiki hii tutakuwa Na interviews mbili tu kwa wiki.

Kwa siku za jumatatu Na alhamisi
Kuanzia saa kumi Na nusu jioni.

Ikiwa kutatokea mabadiliko ya
Siku tokana Na udhui tutawataarifu
Mapema.

Pia tunaendelea kukaribisha maombi kwa wale wanaopenda
Kushirikiana nasi adventure za maisha.

Ikiwa upo free Na huru kuwa mgeni
Katika interviews karibu sana.pm yangu iko wazi masaa 24.
 

Coco Channel ulimuhoji? Wat the fu.. Did I miss? Was it enjoyable to interview that fool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…