Taarifa kuhusu DJ sepetu interviews

Taarifa kuhusu DJ sepetu interviews

watu wa huku hawana ustarabu kabisa na nachowashangaa wengine ni malimbukeni wa wanawake wakiona mwanamke basi wanaleta fujo kama ingekuwa ni mwanaume isingejaa uzi.

Ila tustarabike jamani sio kila mtu aulize
 
[emoji106] [emoji106]
 
Tunapenda kujuza kwamba,

Kuanzia wiki hii tutakuwa Na interviews mbili tu kwa wiki.

Kwa siku za jumatatu Na alhamisi
Kuanzia saa kumi Na nusu jioni.

Ikiwa kutatokea mabadiliko ya
Siku tokana Na udhui tutawataarifu
Mapema.

Pia tunaendelea kukaribisha maombi kwa wale wanaopenda
Kushirikiana nasi adventure za maisha.

Ikiwa upo free Na huru kuwa mgeni
Katika interviews karibu sana.pm yangu iko wazi masaa 24.
Mpenda kiki katika ubora wako.
 
Back
Top Bottom