Taarifa kuhusu DJ sepetu interviews

Taarifa kuhusu DJ sepetu interviews

Hivi hamuwez kumuomba hata Moderator Mmoja mumfanyie Interview
Hahaaaa. Sasa tutajengaje picha swahiba jamaani. Mana kama wewe huwa najenga picha unafananaje [emoji12]. Hivyo ikija interview yako nataka nijazie vile ninavyojenga ndani ya kichwa changu kama sio kuvipunguza.

Sasa kwa mods. Haitanoga bwana.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Aisee.

Nataka nije niulize maswali yangu mengi tu.
 
Back
Top Bottom