Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nawajua labda nimsaidie.Namuaminia my baby,angempata sema bahati mbaya hamjui
Kabisa kabisa shemela...yaani niwe font fedi
Haha. Yule jamaa aliyesema alishikiwa mtutu na polisi..naomba umuhoji Deo Kisandu.
Haha.Kama hajasema ameshawahi kutakiwa kimapemanzi na mama makumu wa nchi
Kwanini unafanya mahojiano na wanawake tu? Wanakuomba wao au wewe ndio umeamua hivyo? Kwanini?Tunapenda kujuza kwamba,
Kuanzia wiki hii tutakuwa Na interviews mbili tu kwa wiki.
Kwa siku za jumatatu Na alhamisi
Kuanzia saa kumi Na nusu jioni.
Ikiwa kutatokea mabadiliko ya
Siku tokana Na udhui tutawataarifu
Mapema.
Pia tunaendelea kukaribisha maombi kwa wale wanaopenda
Kushirikiana nasi adventure za maisha.
Ikiwa upo free Na huru kuwa mgeni
Katika interviews karibu sana.pm yangu iko wazi masaa 24.
Kwani Deo Kisandu ni ke?[emoji15] [emoji15] [emoji15]naomba umuhoji Deo Kisandu.
Ndyo anasema siku moja moja jinsia yake huwa inabadilikaKwani Deo Kisandu ni ke?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kumbe interview ni kwa ajili ya KE tu...!Kwani Deo Kisandu ni ke?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ndyo anasema siku moja moja jinsia yake huwa inabadilika
Kama siyo kwa ajili ya ke tu mbona mimi sifanyiwi interview??![emoji32][emoji32][emoji32]Kumbe interview ni kwa ajili ya KE tu...!
Naomba na Mimi niwafanyie wanaume tu,nianze na wewe hapoKwanini unafanya mahojiano na wanawake tu? Wanakuomba wao au wewe ndio umeamua hivyo? Kwanini?
Kwani ameshamaliza matibabu yake mkoani Dodoma?naomba umuhoji Deo Kisandu.
Nakumbuka kuna jamaa alishawai kukuchimba mkwara humu, [emoji3][emoji3]kuhusu interview zako.Tunapenda kujuza kwamba,
Kuanzia wiki hii tutakuwa Na interviews mbili tu kwa wiki.
Kwa siku za jumatatu Na alhamisi
Kuanzia saa kumi Na nusu jioni.
Ikiwa kutatokea mabadiliko ya
Siku tokana Na udhui tutawataarifu
Mapema.
Pia tunaendelea kukaribisha maombi kwa wale wanaopenda
Kushirikiana nasi adventure za maisha.
Ikiwa upo free Na huru kuwa mgeni
Katika interviews karibu sana.pm yangu iko wazi masaa 24.
Hahahaha duu!! Kabisa mkuu!! Komaa.Siku zote njia ya mafanikio sio tambarare bro!