Taarifa kutoka hospitali aliyopo Wastara kuhusu matibabu yake

Mbona kwa Tundu Lissu taarifa alikuwa anatoa Mbowe na Msigwa kwani madaktari hawakuwepo?!!......Ni mfano tu lakini wakuu!!
upumbavu wako wa lumumba uache huko huko maana Mbowe na Msigwa walikuwepo hospitalini na huyo bwege anayemtolea taarifa yuko kinondoni huoni tofauti bado!
 
Wabongo ni watu wa choko choko. Basi mwenzao kupewa msaada wa pesa za matibabu imekuwa nongwa utadhani pesa zimetoka mifukoni mwao.
Shida si kutoka mifukoni mwao ila anazitumia kama alivyoomba au? Kuna mapacha wameungana na mmoja ana hali mbaya sana kushinda yeye, mie nashauri msaada aliomba autumie kwa jambo aliloliombea, atafanya watu washindwe kumsaidia tena
 
Namuombea huyu dada atibiwe apone kwa msaada aliopata.
Akirudi tena kulialia sijui nani atasikiliza
 
mimi ningekuwa yeye napiga picha kabisa mbele ya bango la hospitali na daktari anaenitibu halafu nisikie mtu anapiga kelele
Ana ubavu huo kama Wabongo hawajaenda hiyo hosp kuhakikisha kama yupo
 
Basi mwenzao kupewa msaada wa pesa za matibabu imekuwa nongwa utadhani pesa zimetoka mifukoni mwao.


Idiot wewe!

Kumbe zimetoka mfukoni kwa nani zile hela?

Hela za Magufuli anazogawa gawa ni za mfukoni kwake zile?

Magufuli ana mshahara gani wa kugawa gawa mamilioni kwa watu wanaojitangaza U Tube?

Zile hela ni za kwetu! Lazima tujue huo mguu unapona, unakatwa au unapandikizwa mwingine? Mguu hauwezi kuwa mtaji binafsi wa kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…