Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mimi niliamuwa kukaa kimya lakini sasa navunja ukimya, kuna tatizo kwa huyu Wastara.![]()
Siku ya February 10, 2018 imetolewa taarifa na Masoud Kaftany ambaye ni Afisa Habari, Uenezi , Mahusiano katika chama cha Waigizaji Kinondoni, kuhusu Muigizaji Wastara Juma taarifa hiyo inasema Wastara ameshafanyiwa Vipimo (Operation ) na anaendelea kupatiwa Matibabu.
Muigizaji Wastara ambaye yupo katika Hospitali ya Saifee (Mumbai ) Nchini India anaendelea vizuri na siku hiyo ya jana alitembelewa hospitalini na Muigizaji wa Bongomovie REGINA KAOLE ambaye yupo Mumbai nchini India kwa shughuli zake za kikazi.
Wanatasnia na wadau wa filam nchini wanaombwa kuzidi kumuombea Muigizaji huyo Wastara ili apone Haraka na kurejea nchini salama.
![]()
Chanzo: Millard Ayo.
Hiyo picha hapo juu huyo muuguzi/ daktari? Ni pure mbongo ksbisa, na binafsi huwezi kuniaminisha eti India wana uhaba wa madaktari mpaka wamuajiri Muafrica kwenye hosputali zao.
Kuna kitu hakiko sawa, kwenye tukio lolote la kiharifu ni mara chache sana waharifu kutokuacha xbit cha kurahisisha uchunguzi, something fishy katika hili open ur eyes.
Isitoshe taarifa ya hospitali huwa inatolewa na Ofisa uhusiano wa hospitali husika na siyo na Mbongo movie.