Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
India wana viti vya bati.Hiyo picha anayoonekana amekalia viti vya plastic itakuwa ya Tanzania. Hospitali za India hawana viti vya plastic!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
India wana viti vya bati.Hiyo picha anayoonekana amekalia viti vya plastic itakuwa ya Tanzania. Hospitali za India hawana viti vya plastic!
Kweli aje aungane nasi kunengua mauno kwenye kampeni za kinondoni kwa mtuliaMola amsimamie apone.
Ila polepile kawaambukiza unafiki!?Halafu leo amelala wakati jana nilimuona kwa da'Mange akiwa amekaa, ha ha ha. Mange kawaambukizeni chuki zake zilizojaa wivu na husda.
Polepile ndio nani?Ila polepile kawaambukiza unafiki!?
Sasa kama ndio hivyo ni kwanini hakwenda Muhimbili? Hivi kuna kitu gani hiyo hospitali ya Safee inaweza kufanya halafu Muhimbili washindwe?Guys mwacheni kumpa stress wastara aiii. Mi nimekaa india naijua vizuri hata mumbai nishafika, nliugua nikaenda kutibiwa appolo hospital ya bangarole nlikalia viti vya plastik kama cha alichokalia wastara. India ni kama bongo tu wala haina tofauuti labda barabara za flyover ni nyingi kuliko kwetu. Ila mambo mengine ni kama dar tu.
Kwa hiyo watu wasihoji hili kujua ukweli ? Chuki za nn ?Halafu leo amelala wakati jana nilimuona kwa da'Mange akiwa amekaa, ha ha ha. Mange kawaambukizeni chuki zake zilizojaa wivu na husda.
Unahoji wewe kama nani?Kwa hiyo watu wasihoji hili kujua ukweli ? Chuki za nn ?
Ni haki yako mkuuWabongo watu waajabu sana !! msaada hawakumpa wao lkn sasa MTU anataka kujua mpaka Matibabu anayopewa.
Hahaha hamna mkuu mchepuko wapi kakaNi haki yako mkuu
Huyo bibie ni mchepuko wako nini
Naona unajaribu kutetea kwa nguvu zote,Hahaha hamna mkuu mchepuko wapi kaka
Mkuu vp?daah
Hahahahah sawa Mkuu ila daahh walizidi Asee maana mapovu ,kiasi kwamba hata Mgonjwa anajisikia katengwa .Naona unajaribu kutetea kwa nguvu zote,
Ni haki yao watu kuhoji na kufuatilia, aliyemchqngia mshahara wake unatokana na kodi zao
Huyo mgonjwa Kuna pahala anajichanganya mkuu, weka mahaba pembeniHahahahah sawa Mkuu ila daahh walizidi Asee maana mapovu ,kiasi kwamba hata Mgonjwa anajisikia katengwa .
Sasa angalia mwanadam alivyo.
Huyu mwanadada alivyosema Pesa zake anazulumiwa ,watu wakamponda.
Akaomba msaada watu wakamponda.
Magu akumpa ,bado watu wanamponda.
Mkuu mgonjwa Wetu anawaza mguu basi mpaka anapagawa na media !!.Huyo mgonjwa Kuna pahala anajichanganya mkuu, weka mahaba pembeni
Mshaurini atulie aachane kwanza na midia ajiuguze, akipona aje na risiti za matibabu
Mkuu nachukia mno ujingaMkuu mgonjwa Wetu anawaza mguu basi mpaka anapagawa na media !!.
Ngoja ujumbe utamfikia.kwasasa tumpe moyo
Ulichokiongea ni 100%. Yaaan tuna wasanii nabaadhi ya viongozi wa kisiasa wanaoshangaza sanaaa .Mkuu nachukia mno ujinga
Mungu anapokupa nafasi watakiwa uitendee haki, lkn si kwa wasanii wetu na baadhi ya viongozi,
Kwenye pati zao zsizo na mashiko wanatuzana ma malaki ya pesa, hawakumbuki kesho yao itakuwaje, kujiwekea akiba nawachukia sana,
Kwa mtz wa hali ya kawaida akiumwa tumbo LA kuhara km hana elfu moja hawezi hata kupokelewa pale dirishani zahati, na hakuna wa kumpa msaada na hali hiyo inapelekea umauti kumfika, wapo wengi, wenye majanga mazito wapo wengi ila nani anajali kuhusu wao?
Haipendezi, inachukiza na kutia hasira kwa mgonjwa aina ya huyu bibie