[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hyo hyo dokta kwisa aliyemshika mguu nae kaajiliwa India ucku izi ? Lini aliacha kaz mwananyamala ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hyo hyo dokta kwisa aliyemshika mguu nae kaajiliwa India ucku izi ? Lini aliacha kaz mwananyamala ?
Kama mtu mlipa kodi au raiaUnahoji wewe kama nani?
Kafie mbele huko.Kama mtu mlipa kodi au raia
upumbavu wako wa lumumba uache huko huko maana Mbowe na Msigwa walikuwepo hospitalini na huyo bwege anayemtolea taarifa yuko kinondoni huoni tofauti bado!Mbona kwa Tundu Lissu taarifa alikuwa anatoa Mbowe na Msigwa kwani madaktari hawakuwepo?!!......Ni mfano tu lakini wakuu!!
Shida si kutoka mifukoni mwao ila anazitumia kama alivyoomba au? Kuna mapacha wameungana na mmoja ana hali mbaya sana kushinda yeye, mie nashauri msaada aliomba autumie kwa jambo aliloliombea, atafanya watu washindwe kumsaidia tenaWabongo ni watu wa choko choko. Basi mwenzao kupewa msaada wa pesa za matibabu imekuwa nongwa utadhani pesa zimetoka mifukoni mwao.
Ana ubavu huo kama Wabongo hawajaenda hiyo hosp kuhakikisha kama yupomimi ningekuwa yeye napiga picha kabisa mbele ya bango la hospitali na daktari anaenitibu halafu nisikie mtu anapiga kelele
Kweli Pesa alizopewa ndo zinawauma sana watu , watanzania achaneni wivu Wa kijinga.Wabongo ni watu wa choko choko. Basi mwenzao kupewa msaada wa pesa za matibabu imekuwa nongwa utadhani pesa zimetoka mifukoni mwao.
Basi mwenzao kupewa msaada wa pesa za matibabu imekuwa nongwa utadhani pesa zimetoka mifukoni mwao.
Shkamoo mkuu, a hahaha kumbeInapendeza sana...
Nguvu ya umma siyo ya mchezo... Mpaka ameenda kweli hospitali... Or else ingekua lala salama hiyo...
Cc: mahondaw
Kapewa pesa zilizo tokana na kodi zetu ndio mana wana kuwa na chokochokoWabongo ni watu wa choko choko. Basi mwenzao kupewa msaada wa pesa za matibabu imekuwa nongwa utadhani pesa zimetoka mifukoni mwao.
Kwani ukiwa Kinondoni huwezi kutoa habari za India mr mbwiga?!upumbavu wako wa lumumba uache huko huko maana Mbowe na Msigwa walikuwepo hospitalini na huyo bwege anayemtolea taarifa yuko kinondoni huoni tofauti bado!