Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Tukutane tarehe 16 Septemba ni Simba SC vs Yanga SC
😀😃 Andy boyeli anakusubiriaUtopolo mtaleta timu?
Kila nkikumbuka mikwara ya huwezi kuwa bingwa bila kumkaba mpanzu na kilichotokea baada ya mechi hakika naishiwa pawa.Utopolo mtaleta timu?
Mkuu, hiyo mechi haina draw, ni either Yanga ashinde au Simba ashinde.Quick Outcome Probability (Astrological-Based)
- Simba Win: 45%
- Draw: 35%
- Yanga Win: 20%
Kwa wabetiji draw hipo.Mkuu, hiyo mechi haina draw, ni either Yanga ashinde au Simba ashinde.
Wanangu mnaobet, msiingie kwenye huu mtego. Maana mkeka utachanika mapema sana, kabla hata ya mechi kuanza.Quick Outcome Probability (Astrological-Based)
- Simba Win: 45%
- Draw: 35%
- Yanga Win: 20%
😀😃Kila nkikumbuka mikwara ya huwezi kuwa bingwa bila kumkaba mpanzu na kilichotokea baada ya mechi hakika naishiwa pawa.