Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Nakushangaa. Taharuki itatoka wapi kama matokeo yako sahihi na wazi kwa kila muwakala? Kupiga picha ni kuweka kumbukumbu "for future reference". Mnaopinga hili mna nia ya kuchezea matokeo.Sasa Askofu kila mtu akipiga picha, then tuanze kutafuta picha ya nani ndio sahihi? Tume ina lengo zuri kwamba taarifa za matokeo ziwe na channel moja, sio kila mtu na matokeo yake itakuja kuleta taharuki na hatimae vurugu.Endelea kuchunga kondoo wa Bwana mambo mengine haya kuhusu. Usichanganye siasa na dini