BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Na ufahamu kuwa, sio kuzuia simu tuu akiamliwa, hata mawasiliano hayatakuwepo ili kudhibiti umbeya.Wiki ijayo wamepanga kuzuia kuvaa miwani kwenye chumba cha kuhesabia kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ufahamu kuwa, sio kuzuia simu tuu akiamliwa, hata mawasiliano hayatakuwepo ili kudhibiti umbeya.Wiki ijayo wamepanga kuzuia kuvaa miwani kwenye chumba cha kuhesabia kura
Ikilazimu, hata mawasiliano ya simu na internet hayatakuwepo.SUALA LA SIMU KWA MAWAKALA: TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MSIHARIBU UCHAGUZI WA WATANZANIA!
Taarifa kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi itazuia Mawakala wa Vyama kuingia na simu zao katika vituo vya kupigia kura imetushtua hata sisi viongozi wa Kanisa! Simu ina mambo mengi sana katika ulimwengu wa sasa ikiwemo kutunza kumbukumbu kwa njia mbalimbali.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi haiwezi kuwafanya mawakala kama 'tabula rasa' yaani watu wasioweza kuhifadhi kumbukumbu yo yote na hata kushindwa kuwasiliana. Mawakala wakiwa na simu wanaweza kupiga picha matokeo halisi ili kudhibiti wizi wa kura! Kitendo cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuzuia Mawakala kuingia na simu katika chumba cha kupigia kura ni sawa na kuandaa usiri utakaopelekea mazingira ya kuibiwa au kuchakachuliwa kwa kura!
Tunaitahadharisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuacha kutoa maelekezo au kutunga kanuni kwa lengo la kufanya Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yasiheshimike na wananchi! Ili kuleta afya ni vizuri maelekezo na kanuni za Tume zikubaliwe na vyama vyote. Tume iepuke kutoa kanuni na maelekezo katika kipindi hiki kwa lengo la kuubeba upande mmoja na kuunyonga upande mwingine!
Sisi tumekwisha kutimiza wajibu wetu (Ezekieli 33:1-20).
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Duniani
Shetani hajawahi kumshinda MunguNa ufahamu kuwa, sio kuzuia simu tuu akiamliwa, hata mawasiliano hayatakuwepo ili kudhibiti umbeya.
Goli la mkono hilo, ccm banaSUALA LA SIMU KWA MAWAKALA: TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MSIHARIBU UCHAGUZI WA WATANZANIA!
Taarifa kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi itazuia Mawakala wa Vyama kuingia na simu zao katika vituo vya kupigia kura imetushtua hata sisi viongozi wa Kanisa! Simu ina mambo mengi sana katika ulimwengu wa sasa ikiwemo kutunza kumbukumbu kwa njia mbalimbali.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi haiwezi kuwafanya mawakala kama 'tabula rasa' yaani watu wasioweza kuhifadhi kumbukumbu yo yote na hata kushindwa kuwasiliana. Mawakala wakiwa na simu wanaweza kupiga picha matokeo halisi ili kudhibiti wizi wa kura! Kitendo cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuzuia Mawakala kuingia na simu katika chumba cha kupigia kura ni sawa na kuandaa usiri utakaopelekea mazingira ya kuibiwa au kuchakachuliwa kwa kura!
Tunaitahadharisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuacha kutoa maelekezo au kutunga kanuni kwa lengo la kufanya Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yasiheshimike na wananchi! Ili kuleta afya ni vizuri maelekezo na kanuni za Tume zikubaliwe na vyama vyote. Tume iepuke kutoa kanuni na maelekezo katika kipindi hiki kwa lengo la kuubeba upande mmoja na kuunyonga upande mwingine!
Sisi tumekwisha kutimiza wajibu wetu (Ezekieli 33:1-20).
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Duniani
Hiyo ni kanuni ya tume, na chama chako chadema walisaini fomu ya maadili ya uchaguzi! Na walikubali, Sasa wewe askofu mchunga siasa unapinga Kama Nani?
Viongozi wa dini Leo walikuwa ukumbi wa Mwalimu Nyerere wakati Rais anapokea gawio la billion 100!!
Wewe endelea na siasa, siku ya mwisho Mungu atakuuliza haesabu yake
Kura za kuibiwa mnazo nyinyi wanasaccos?Wamelenga kuiba kura
Jinga weweHakuna ndiyo upig picha upeleke wapi?
Kama unazo nguvu mbona kila wakati unawaza ICC tu jitokeze tu barabarani wakunyowe kwa kisu!Iko kwenye kanuni ipi iliyosainiwa wapi?
Wacha maneno weka hiyo kanuni ya kuzuia simu kwenye listi zilizosainiwa hapa.
Acheni utani nyie. Safari tumedhamiria. Ame zetu ama zenu. ICC ataamua hili battle!
Sasa Askofu kila mtu akipiga picha, then tuanze kutafuta picha ya nani ndio sahihi? Tume ina lengo zuri kwamba taarifa za matokeo ziwe na channel moja, sio kila mtu na matokeo yake itakuja kuleta taharuki na hatimae vurugu.Endelea kuchunga kondoo wa Bwana mambo mengine haya kuhusu. Usichanganye siasa na dini
Hoja Hafifu kabisa..
Mawakala tayari wameaminika na Vyama vyao na sidhani kama kuna uhitaji wa kua na simu kwenye vituo na sidhani kama sheria inaelekeza kufanya hivyo.
Hakuna amani bila haki, funga bakuli lakoHawa maaskofu wengine wa aina hii sijui wanapatikana kwa vigezo gani imagine huyo anayesema hayo ni askofu anaetegemea kuongoza kondoo zake katika njia ya kwenda mbinguni sijui anawaza nini manake kwenye kituo Kuna mawakala na hata wagombea wanaweza kuwepo Sasa suala la. Kusema mawakala wapige picha matokea sijui haoni impact yake badae kuwa kila wakala anaweza kuwa na version yake ya kura kwa kweli viongozi wetu wa dini kuweni makini kwa dhamana mlio nayo ni kubwa Sana msitake sasa waumini tuanze kugawanyika kwa kuonyesha dhahiri mna ushabiki wa kisiasa ni vyema mkahubiri amani na kuombea uchaguzi uishe salama msiwe vyanzo vya vurugu manake hata nyie mtakua wahanga
Kwani hata kukiwa na picha elfu 1 za tukio lile lile kuna ubaya gani?Sasa Askofu kila mtu akipiga picha, then tuanze kutafuta picha ya nani ndio sahihi? Tume ina lengo zuri kwamba taarifa za matokeo ziwe na channel moja, sio kila mtu na matokeo yake itakuja kuleta taharuki na hatimae vurugu.Endelea kuchunga kondoo wa Bwana mambo mengine haya kuhusu. Usichanganye siasa na dini