VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Msomi mwenzangu Dadio,AGM sio 21 na 22 Februari?Kuitwa wakili msomi Siyo sifa au kujikweza. Ni jina ambalo hutumika kwa mawakili wote. Kwa ufupi dunian kote kila wakili ni msomi. Ni field ya kipekee dunian ambayo mpaka kufikia hatua ya kuitwa wakili si kazi nyepesi. Ndio utakuta maneno kama learned brother, leanerd sister, learned magistrate, his Lord ship etc. Only in legal field. Wasomi wengi wanaelewa vyema nachokisema Hii ni kutokana NA background ya sheria yenyewe. Wasomi msisahau AGM arusha.27/02/14.
hiyo ni lugha ya field ya sheria mzee, dunia nzima iko hivyo, hata ukienda marekani au australia au popote pale, mwanasheria humwita mwanasheria mwenzie "wakili msomi"....acha umbumbumbu, sio kwamba wanaringa, kila field ina lugha zake.
wakili msomi" ni neno linalotumiwa sio kwa tz tu bali dunia nzima, hiyo ni lugha wanayoijua wanasheria tu (learned brother/learned sister)....watu wengi wanafikiri kuitwa hivyo ni kufanya maringo...hapana.
only lawyer are learned this principle is precedence and prevail.
only lawyer are learned this principle is precedence and prevail.
Kajifunze Kiingereza wewe. Siyo unakuja hapa unajishongodoa na Kiingereza chako kibovu kibovu.
Yeap; Dr Remmy Ongala. Alikuwa mwanamuziki Msomi
'Max Priest naye ni Dokta. Mwanamuziki msomi'
Maana yake hata km una Kesi fake, au umebaka kabint ka miaka 10
mfuate Wakili Msomi UTASHINDA
Jamaa yangu HAKI siku hizi hakuna tena ni PESA yako tu itazungumza
Hebu tuwaachie Uwanja wao, maana ndio wenye pesa kwa kuongea tu hata Mahakimu na Majaji huwasikiliza
OMBA USIWE NA KESI mwaka wao wa michango umalizike salama
Wewe naye ni msomi?
Kajifunze Kiingereza wewe. Siyo unakuja hapa unajishongodoa na Kiingereza chako kibovu kibovu.
ndivyo tunavyoitana mahakamani ndugu, nenda hata leo mahakamani lugha yetu ndiyo hiyo....mfano; mheshimiwa hakimu, wakili msomi upande wa....amesema......, sikubaliani na hoja za wakili mwenzangu msomi kwasababu hazina mashiko....etc, sio kwamba tunajidai, ni kwamba ndio lugha ya field yetu, kama unadili na mawakili wa kimarekani kumbe wewe si mwanasheria hivyo huwezi elewa ninachomaanisha hadi uje kuwa mwanasheria, sihitaji kubishana na mtu asiye mwanasheria kwasababu hataelewa ninachosema. we subiri upate shida ulete hela tule.Wee weee, kila siku nadili na mawakili (wa Kimarekani) mimi na ni nadra sana kuwasikia wakijiita wasomi, si kwenye missives, si kwenye business cards, si kwenye maongezi ya kawaida.
Hawalirushi rushi hilo neno kama hawa wa bongo ambao hata usomi wao ni questionable.
meseji ilikuwa inatumwa kwa wanasheria tu, lilikuwa ni tangazo kwa wanasheria tu si kwa kila mtu, hivyo wanasheria wote wameshaelewa, wale wasio wanasheria hawajaelewa na hakuna athari kwasababu meseji haikuwa directed kwao, wanasheria wote wana lugha zao, madaktari wana lugha zao, mapolisi wana lugha zao, hivyo hapa walengwa hawakuwa ninyi wengine, walikuwa wanasheria tu. poleni kwa kuvamia mfupa wa fisiNilishafikiria hivyo. Ila angelitahadhirisha watu wengine kuwa anatumia lugha ya Wanasheria, basi hakuna ambaye angelimshambulia. Yeye kama Msomi kweli na Mwanasheria, alitakiwa haraka sana kunusa athari ya kuleta lugha za Wanasheria wakiwa mitaani mbele ya watu wengine kama sisi Wabeba Zege au Nyani Ngabu , balozi wa Wabeba Mabox kama siyo KILANGA ambaye hushambulia kila lugha ya magambo inayotokezea hapa JF.
Sasa akishashambuliwa, ndiyo anakumbuka shuka na yeye baada ya kuelezea tu kwamba ni lugha yao Wanasheria, anakuja na kiswahili kirefu ambacho Waingereza wanasema "beating around the bush."
Kama unaona shabaha, kwa nini kuzunguka?
hahaha, hata kama kiingereza chake ni kibovu, yeye ni mwanasheria na wewe ni mbeba box...hahaha. pole.Kajifunze Kiingereza wewe. Siyo unakuja hapa unajishongodoa na Kiingereza chako kibovu kibovu.
hahaha, hata kama kiingereza chake ni kibovu, yeye ni mwanasheria na wewe ni mbeba box...hahaha. pole.
ndivyo tunavyoitana mahakamani ndugu, nenda hata leo mahakamani lugha yetu ndiyo hiyo....mfano; mheshimiwa hakimu, wakili msomi upande wa....amesema......, sikubaliani na hoja za wakili mwenzangu msomi kwasababu hazina mashiko....etc, sio kwamba tunajidai, ni kwamba ndio lugha ya field yetu, kama unadili na mawakili wa kimarekani kumbe wewe si mwanasheria hivyo huwezi elewa ninachomaanisha hadi uje kuwa mwanasheria, sihitaji kubishana na mtu asiye mwanasheria kwasababu hataelewa ninachosema. we subiri upate shida ulete hela tule.