VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Msomi mwenzangu Dadio,AGM sio 21 na 22 Februari?Kuitwa wakili msomi Siyo sifa au kujikweza. Ni jina ambalo hutumika kwa mawakili wote. Kwa ufupi dunian kote kila wakili ni msomi. Ni field ya kipekee dunian ambayo mpaka kufikia hatua ya kuitwa wakili si kazi nyepesi. Ndio utakuta maneno kama learned brother, leanerd sister, learned magistrate, his Lord ship etc. Only in legal field. Wasomi wengi wanaelewa vyema nachokisema Hii ni kutokana NA background ya sheria yenyewe. Wasomi msisahau AGM arusha.27/02/14.
Last edited by a moderator: