MazoeaAfrica kuna uzembe sana,watu wengi wanakufa kwa uzembe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MazoeaAfrica kuna uzembe sana,watu wengi wanakufa kwa uzembe.
TRC are busy with shoddy SGR deals leaving the original railway line unattended. Hii TRC ya wasukuma wa Magufuli inabidi iangaliwe upya.
Ukabila utakuua mkuu hii tren ipo tangu uhuru. Magu hajaanzisha shirika lolote la usafiri nchini
Naona kafara za awamu hii zinafanana na za awamu ya nne bila shaka mganga wao ni mmoja
[emoji38][emoji38][emoji38]TRC are busy with shoddy SGR deals leaving the original railway line unattended. Hii TRC ya wasukuma wa Magufuli inabidi iangaliwe upya.
Hi hii bado inafanya kazi kweli?Na hii treni ya kamata_ubungo mtengeneze hiyo reli maana maeneo jirani na mwananchi huwa inayumba sana sasa isije siku ikaleta maafa makubwa.
Poleni wote mliofikiwa na janga hili
Si ndiyo ile ya mstaafu Mwakyembe?Hi hii bado inafanya kazi kweli?
SGR ikianza mkifanya michezo hii mtazika hadi mtakosa majeneza.