Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Another idiot, kwa hiyo kwa kuwa ipo tangu uhuru isifanyiwe maboresho?
Lord have mercy...Nipo Tabora jamami watu wamepukutika sana tena sana
Mungu awajalie uponyaji majeruhi na awafariji wafiwa.
Kumbe behewa ikipinduka matairi huwa yanabaki chini?Hii inaitwa half capsizement,poleni sana wahanga...
Acha uongo.Na hii treni ya kamata_ubungo mtengeneze hiyo reli maana maeneo jirani na mwananchi huwa inayumba sana sasa isije siku ikaleta maafa makubwa.
Poleni wote mliofikiwa na janga hili
Huu nao ni upungufu wa akili, reli ya kati ilijengwa na wajerumani enzi za ukoloni.TRC are busy with shoddy SGR deals leaving the original railway line unattended. Hii TRC ya wasukuma wa Magufuli inabidi iangaliwe upya.