Taarifa kwa Umma: Ajali ya Treni ya Abiria - Malolo, Tabora

Wanaondoa taharuki...naona
Kuna idadi fulani ikitajwagwa
Watu watastuka
Ila mziki wa jongoo ukitokea nyomi lake si la kitoto

Ova
Nikiambiwa 'walioondoka' mazima ni 150 / 300 ninaweza Kuwaamini na hata kuwapa Tuzo Tukuka ya Wao kuwa Wawazi.
 
Lakini kweli... maana kile chumba cha tatu hua wapangaji wako wengi kama ndizi kwenye kichane na viti ndani ya chumba havina mikanda. 4 tu? Mmhhh...
Mkuu una Utani wa 'Jadi' na Waha kama Mimi hapa 'Mzanaki' kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) Kwetu au unawatafuta tu?
 
Nikiambiwa 'walioondoka' mazima ni 150 / 300 ninaweza Kuwaamini na hata kuwapa Tuzo Tukuka ya Wao kuwa Wawazi.
Ile 4× mara kadhaaa mkuu
Jongoo akianguka si mchezo
Maana jongoo ni mwendo wa nyomi
Waha tena kwa kujazana

Ova
 
Hio reli ni mbovu yotee!!! Yaani ya kufumuliwa yote na kutandikwa upya

Kutengeneza matuta mapya ya kupitisha reli

Hata kile kipande cha tanga-moshi nacho kimekaa kimashaka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…