Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,559
Hakuna nchi imewahi kuwa masikini kwa kushirikiana na mabeberu.Tanzania haiwezi wala haitaki kuwa kisiwa
Kinachotakiwa ni maridhiano kwenye biashara na ushirikiano. Na Sio kwamba washirika toka Ulaya na Amerika hawatakiwi.
Wasiotakiwa ni Mabeberu.... Beberu yoyote awe anatoka Asia, Africa, America, Europe hafai
Mabeberu sio watu powa
View attachment 1649053
Unaelewa maana ya Mabeberu lakini?Hakuna nchi imewahi kuwa masikini kwa kushirikiana na mabeberu.
Wabelgiji wanakujaje hapa dada mkubwa?Kweli kabisa. Kwani wabelgiji hawakuwafundisheni?
Zimbabwe sio Tanzania,
Mugabe sio Magufuli, wala
Grace Mugabe sio Janet Magufuli
Usimchanganye huyu mama Janet, huyo mama ni muadilifu na ndio pekee anayebeba imani yetu. Hao wengine watatu tumekuachia ww mtajuana. Tafadhali muache kabisa huyo mama, kama tutamsamehe jiwe, basi ni maombi ya huyo mama fullstop.
😂😂😂😂😂😂na hiyo imani kwa mama mwenye familia ndio imani kwa familia yake🙏
Njoo nikupe shamba bure alafu ulime,
ndio sababu mkuu, ndio maana, nikawa nashangaa kumbe upo daa, huko lazima jua likuwakie tu mkuu. Nenda kwenye mikoa ya ahadiKukodisha shamba nimesema heka ni 20,000, naishi hapa Dar. Hapo nitaokoa bei ya kukodisha tu. Gharama nyingine ziko pale pale.
ndio sababu mkuu, ndio maana, nikawa nashangaa kumbe upo daa, huko lazima jua likuwakie tu mkuu. Nenda kwenye mikoa ya ahadi
Nipe bei ya bidhaa hiyo nchi za jirani nilinganishe.Mafuta ya kula lita sh 6000/=
Wewe endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe.
kwa niaba yako mtanzaniaAmefanya mazungumzo hayo kwa niaba ya serikali, CCM ama conspiracy behind BAHIMA empire?
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
hahahah mabeberu wanatamani kumlipua china sema ndio hivo uwezo hawana😂😂Habari njema sana hii kwa Tanzania na wote wenye mapenzi mema
Habari mbaya kwa mabeberu😁😁
Sasa ndio wapinzani waelewe kwanini sanctions imeshindikana🤣🤣
Ukishiba matikiti unatema pumba tuKwani ushirikiano na China uliwahi kuharibika? Ifahamike Tanzania haina mahusiano yoyote mabaya na nchi isiyoihoji kuhusu wizi wa kura, utawala bora na demokrasia. Lakini asukudanganye mtu wachina wanatuchora tu. Toka wamekosa ile dili ya kujenga bandari ya bagamoyo ya $10b, na ujenzi wa SGR wa $7.5b wametutoa maanani. Hapo ilipo kama wataongea miradi au misaada, ni ile isiyovuka $100m, ambayo ni miradi midogo mno. Kwa ujumla hao wachina kwa sasa hawana muda na serikali zisizolinda matakwa yao, wanachofanya ni kupiga picha na viongozi wa ccm wanaovaa Kaunda suti bado na porojo kibao. Viongozi wa China wa maana wanaenda ulaya na Marekani kutafuta wawekezaji wa maana waende kwao kuwekeza. Wakishapata hao wawekezaji, bidhaa reject ndio wanaleta kwetu.
Tangu lini uhusiano huo haukuimarika, au sasa inatulazimu tujiuze kabisa na kuwa 'client state'?CHINA NA TANZANIA KUIMARISHA ZAIDI USHIRIKIANO
Okay Mkuu, Beberu China kesha mchumbia tayari bibie CCM. Masharti ya ndoa kuzingatiwa.kwa niaba yako mtanzania
Washirika wa maendeleo ni watu muhimu na sii mabeberu.Shukran kwa taarifa
Eeenh, najua umenielewa vyema.acha fikira potofu, ukosefu wa maarifa ni mzigo mkubwa mno