Hapana bado haitoshi kusema hivyo pekee...
Itatosha kama utasema ni mgombea gani huyo aliyewapa kazi hii...
Anajificha nini kwa sababu wote tunajua, CHADEMA wanaye yule mama Malegesi (kama sijakosea) na CCM aliyeshinda kura ya maoni ni Dr Faustine Ndungulile. Vivyo vyama vingine naamini vina wagombea....
Japo mchakato ndani ya vyama vyao hawa wagombea haujafikia mwisho na vivyo hivyo NEC kuwa bado haijawaidhinisha rasmi, lakini for sure kabisa hawa kwa 95% ndiyo wagombea tayari....
Kwanini wajifiche?
Unless useme ninyi ni NGO fulani mnafanya utafiti wenu kwa manufaa yenu na jamii huko mbeleni....