Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
Mkuu bila kukuficha hili zoezi lako lina ukakasi mwingi sana.
Ila bila kukukatisha tamaa we endelea ila kama alivosema mdau mmoja apo juu hakikisha unakuwa na kibali cha watu wa takwimu maana ndo kazi zao hizo kabla watu hawajakuripoti ikawa noma kwako na waliokutuma.