Facts finding Kwa manufaa ya Nani?!...hayo mahitaji ya wanakigamboni yanabadirika kila wakati,nakushauri hiyo KAZI umwachie atakayeshinda ubunge,ndio KAZI yake kuwazungukia wananchi kuchukua kero zao na kuzipereka serikalini Kwa utatuzi... wanakigamboni Kwa sasa wanasubiria October wachague Mwakilishi wa kuwasaidia na sio siku nyingi zilizopita walitoa indication ya Nani wangependa wamtume Dodoma na Trust me waliogombea wote walishafanya utafiti na Kwa SASA mchakato uko hatua nzuri na kama unawatakia mema wanakigamboni, ningekushauri uwaachie KAZI waliyokwisha ianza waimalizie.
Kwasababu watanzania wamechoka na entrepreneurs wa kisiasa..kafanye utafiti wa jinsi ya kulima mazao Bora na ufugaji ,Kwa njia hiyo utaweza kuwasaidia vijana wengi Kwa tafiti zako..Kwa SASA tafiti yako inalenga kumtafutia fursa mwanakigamboni mmoja tuu..hiyo ni wastage ya bundle..smart up.