Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,unajua maana ya kushindwa?Unajua maana ya kuwa formal?Unachagua kila unachoamini.Ila kama wewe ni mkazi wa Kigamboni unaweza kushiriki.Umeshindwa hata kudesign email yenye mvuto, yaani email ilivyokaa tu inaonyesha kitu unachofanya siyo formal na obviously haupo serious nacho
Sheria inayohusu ukusanyaji wa takwimu unataka yeyote anayetaka kukusanya takwimu awe na kibali cha serikali.Uharamu wa hili zoezi ni upi,Kibali cha tume kitalipa zoezi uhalali?Usiwe na uchungu moyoni na kushindwa kufikiri kama mzalendo.Kama vyama vvyote vingetumia mfumo huu wa maoni kwa hakika wananchi wengi wangshiriki na tungepata maoni ambayo yanaakisi mahitaji ya wananchi
Baada ya kibano cha wajumbe kuna kiunzi kingine cha umangi-meza wa serikali ya CCM kubana kazi kama yako ya kitafiti / maoni. Sheria zingine mnazotunga CCM hamkujua zitakuja kuwa pia kikwazo kwenu.
Kibali unaocho au ufahamu kuwa chini ya utawala wenu wa CCM Mpya zoezi kama hili ni batili na haramu.
Tafiti, social science survey na maoni yanahitaji ruhusa ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa kwa wingi na wabunge wa CCM.
Sheria ya takwimu kuwabana watafiti? Mtakwimu mkuu wa Serikali atoa ufafanuzi
Source : azam tv
Maoni kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Takwimu :: Matangazo ...
28 Sep 2018 · Msimamo wa Asasi za Kiraia kuhusu Mapendekezo ya ... waitaka serikali kutekeleza Sheria ya Upatikanaji wa Taarifa ...
Maoni kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Takwimu :: Matangazo :: Vyombo vya habari :: Twaweza.org
Mkuu,hakuna kitu kama hicho,ila kama umechagua kuamini sishangai kwa nini miaka 50+ baada ya uhuru bado tuna watu wenye fikra kama zako.Ni uthibitisho kwamba kuna tatizo katika mfumo wetu wa elimu na uongozi
Kama hutumiwi na mtu, haya maoni wewe unakusanya unampa nani wakati humjui kiongozi gani atakayechaguliwa na anasera gani!?.Zoezi hili litahusisha kata zote za wilaya ya Kigamboni na linalenga kuwafikia wakazi wapatao 4000 kwa ajili ya kukusanya maoni yao juu ya maeneo ambayo wangependa yapewe kipaumbele na uongozi utakaochaguliwa
Mkuu wote ni utafutaji,hata wewe naweza kukupatia huduma nzuri kabisaMkuu naona unalazimisha kumalizia nyumba yako kwa pesa za Bashite. Unakuja na Id fake unajifanya kukusanya maoni ww ni nani? Kwani hakuna mikutano ya mitaa mpaka uweke email yako ukusanye maoni? Acheni utapeli wa kijinga.
Jibu WENZAKO WALIVYOPOZI WEWE ULIKUWA WAPI? au ni wewe ni yupi hapa? Mwenye Black au YellowMkuu,Wakitaka kupata wanaweza kuipata,kwa sababu tutaiweka public.
Unaweza kuniambia linaweza kusaidia kuweka mambo sawa zaidi.Maendeleo ni ushirikianoKwetu Ubungo mkuu.
Sema kidogo umekosea muda wa kufanya hili jambo.
Kama una watu wanojielewa wanaweza kukukwamisha kwa swali flani ambalo kwa sasa tulikaushie nisikuharibie malengo yako.
Wasiwasi wako tu Mkuu,Huyo bwana sio sehemu ya hili zoezi.Jibu WENZAKO WALIVYOPOZI WEWE ULIKUWA WAPI? au ni wewe ni yupi hapa? Mwenye Black au Yellow View attachment 1530495
Mkuu,Kama ungependa tufanye hivyo kwa kibamba tafadhali tuwasiliane tuweke mikakati sawa.karibu sanaKwanini usingeanza na kibamba? Muda uliobaki kweli utaweza kukusanya maoni ya majimbo 214? Kama lengo lako ni jimbo moja basi umetumwa na BASHITE.
Huo mualiko wa DSM RC "Mstaafu" ulifanyika wapi? Naona wasanii wengi walialikwa,Kigamboni anakaa sehemu gani maana ameshatoka Masaki.Jibu WENZAKO WALIVYOPOZI WEWE ULIKUWA WAPI? au ni wewe ni yupi hapa? Mwenye Black au Yellow View attachment 1530495
Baada ya kibano cha wajumbe kuna kiunzi kingine cha umangi-meza wa serikali ya CCM kubana kazi kama yako ya kitafiti / maoni. Sheria zingine mnazotunga CCM hamkujua zitakuja kuwa pia kikwazo kwenu.
Kibali unaocho au ufahamu kuwa chini ya utawala wenu wa CCM Mpya zoezi kama hili ni batili na haramu.
Tafiti, social science survey na maoni yanahitaji ruhusa ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa kwa wingi na wabunge wa CCM.
Sheria ya takwimu kuwabana watafiti? Mtakwimu mkuu wa Serikali atoa ufafanuzi
Source : azam tv
Maoni kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Takwimu :: Matangazo ...
28 Sep 2018 · Msimamo wa Asasi za Kiraia kuhusu Mapendekezo ya ... waitaka serikali kutekeleza Sheria ya Upatikanaji wa Taarifa ...
Maoni kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Takwimu :: Matangazo :: Vyombo vya habari :: Twaweza.org
And then what after facts finding? Unazipeleka kwa nani hizo facts? Nani analipa gharama za kuzunguka kote na kukusanya facts?Mkuu,Kama ungependa tufanye hivyo kwa kibamba tafadhali tuwasiliane tuweke mikakati sawa.karibu sana