Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Yes kaa kwa kutulia October 28 utaona maoni ya wananchi.Mkuu sasa tunasubiri maoni ya wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes kaa kwa kutulia October 28 utaona maoni ya wananchi.Mkuu sasa tunasubiri maoni ya wananchi
Mkuu,nothing is easy,Hata mimi najua kwamba kuna ugumu katika kila jmbo ila STRATEGY IS THE KEY.Mimi nimependa enthusiasm yako lakini Kwa hili ... timing yako iko off...but the idea is interesting/amazing/bravo...msimu wa Siasa za Tanzania SASA hivi unakaribia ukingoni..hii ni Sawa na kubakiza mechi mbili na unahitaji pointi 6 na huku ukiombea aliyeko juu yako apoteze mechi zote mbili Kwa kufungwa magoli yasiyopungua 7 ili wewe umpiku..sisemi kwamba haiwezekani, lakini ni mission Ngumu Sana.
Uko nje ya muda ila kama Bashite anakupa mshiko pokea.Kutulia hapana ila Oktoba 28 tutaona matokeo
Bro..how do you fact find the facts ambazo ni obvious!?.. unless unawafanyia wageni kutoka ng'ambo utafiti ili waje kuwekeza..huyo anayetaka ubunge na hajui Kigamboni wanataka nini atakua katua Africa Kwa mara ya Kwanza Jana na contact yake ya Kwanza na Mtanzania/Mwanakigamboni itakua ni wewe.Mkuu,What amounts to wastage of time?Wewe kama ni landlord basi hukupaswa kuwa na fikra zilizofungwa kwa kiwango hicho nilitarajia ungenipa maoni yako na ushuri kisha mengine tunaweza kuyajadili.Ila nimefurahi ushiriki wako katika mjadala kwani pia kuna mambo mengi sana ambayo nimeyaona ambayo nisingeyaona kama sijaweka Bandiko hili.
INBOX tayari nimepokea maoni kutoka KATA mbalimbali na mitaa,Mengine very personal issues kama watu kudhulumiwa haki zao,Mengine ni mahitaji ya kujengwa kwa miundo mbinu,Mengine ni kuhusu miradi ya maji.
Kwa ujumla napokea maoni ambayo yananifanya nitamani kufanya fact finding kwa amajimbo yote Dar es salaam na Tanzania.Ila kwa sasa wacha tuanze na Kigamboni tulifanye liwe jimbo la Mfano
Mkuu wote ni utafutaji,hata wewe naweza kukupatia huduma nzuri kabisa
THE KEY IS TO STRATEGIZEMkuu,nothing is easy,Hata mimi najua kwamba kuna ugumu katika kila jmbo ila STRATEGY IS THE KEY.
Angalau wewe umeanza kuelewa...Wengine naona wana sentiments.Kama wewe ni kazi wa Kigamboni unaweza leta maoni yako pia
Mkuu kwanza simfanyii kazi Makonda na hata katika kufanya haya yote ni kuhakikisha kwamba tunapata kiongozi anayeelewa mahitaji yetu.Kuhusu mficho usikupe shaka kwa sababu ni namna moja wapo ya kuhakikisha integrity.Ukifika wkati wa kusema hivyo utasema hivyo ila kwa sasa Mgombea ameomba kuwa confidential.Je inatosha kusema hivyo?Kama ndivyo, kwanini umeshindwa kuwa wazi?
Kwani ukisema tunamkusanyia maoni mgombea X ili aandae ilani yake ya uchaguzi kwa kuzingatia vipaumbele vya wananchi wenyewe, kuna ubaya gani?
Kwa mficho huu, sasa unaanza kutuhumiwa kuwa unafanya kazi ya Makonda a.k.a Bashite mtu ambaye ktk kura za maoni ameshindwa kabisa tena kwa mbaali...!!
Na it's true kabisa, kama unafanya kazi ya Makonda, basi everything is useless na unachosha watu bure tu na kupoteza nguvu na pesa zenu kuzunguka zunguka...
Kigamboni nadhani huyu andoza ni miongoni mwa wana mkakati wake... tatizo kubwa akipitishwa CHADEMA itammaliza ASUBUHI TUUHuo mualiko wa DSM RC "Mstaafu" ulifanyika wapi? Naona wasanii wengi walialikwa,Kigamboni anakaa sehemu gani maana ameshatoka Masaki.
Kipi kipya kwako katika hivi?Mkuu,What amounts to wastage of time?Wewe kama ni landlord basi hukupaswa kuwa na fikra zilizofungwa kwa kiwango hicho nilitarajia ungenipa maoni yako na ushuri kisha mengine tunaweza kuyajadili.Ila nimefurahi ushiriki wako katika mjadala kwani pia kuna mambo mengi sana ambayo nimeyaona ambayo nisingeyaona kama sijaweka Bandiko hili.
INBOX tayari nimepokea maoni kutoka KATA mbalimbali na mitaa,Mengine very personal issues kama watu kudhulumiwa haki zao,Mengine ni mahitaji ya kujengwa kwa miundo mbinu,Mengine ni kuhusu miradi ya maji.
Kwa ujumla napokea maoni ambayo yananifanya nitamani kufanya fact finding kwa amajimbo yote Dar es salaam na Tanzania.Ila kwa sasa wacha tuanze na Kigamboni tulifanye liwe jimbo la Mfano
Mkuu muda wa watia nia bado haujapita.utapita baada ya kuanza rasmi kwa kampeni tarehe 26 before then lolote laweza kutokea na kufanyikaHiyo kazi ulitakiwa upewe na mmoja kati ya wagombea kutoka katika vyama tofauti,kama haijajulikana wapi ni wagombea,hiyo kazi unamfanyia nani?watiania muda wao ulishapita.
Ushirikishwaji my As..swala sio upya,swala ni verification na ushirikishwaji
Mkuu umechafukwa sana,Ulitaka tuwe wapi.Unafikri ni swala tu la kutaka kutumia watu?Unafikiri hatuna uchungu na hii nchi?Unafikiri kwamba tunachofanya hapa ni kutaka kuwanyonya watu?Ushirikishwaji my As..
Where were you those last five years. Where were you?
I hate people like you trying to take advantage of dire situations a normal below a poverty line citizen during this election period. Trying to fool poor innocent lives to feed your families. Shame on you Bashite waheed