Taarifa Kwa Umma: Fact Finding Mission-Jimbo la Kigamboni

Taarifa Kwa Umma: Fact Finding Mission-Jimbo la Kigamboni

je kama mimi ni mgombea na ninataka pia kuwapa wana kigamboni direct communication channel hata baada ya uchaguzi?

Ni kweli nawe ulikuwa ni 'Mtia Nia' kwa Tiketi ya CCM huko Kigamboni na pamoja na 'Kuhonga' Kwako na 'Kutishia' Watu umekuwa Mtu wa Tatu tu.
 
Mkuu sasa tunasubiri maoni ya wananchi

Tena kwa Kukusaidia tu Baba yako Kipenzi wa Magogoni 'Ulipofeli' alifurahia mno kwani alikuwa anakutafutia tu sababu utoke katika Mfumo wake.
 
Mkuu kwanza simfanyii kazi Makonda na hata katika kufanya haya yote ni kuhakikisha kwamba tunapata kiongozi anayeelewa mahitaji yetu.Kuhusu mficho usikupe shaka kwa sababu ni namna moja wapo ya kuhakikisha integrity.Ukifika wkati wa kusema hivyo utasema hivyo ila kwa sasa Mgombea ameomba kuwa confidential.Je inatosha kusema hivyo?

Najua kuwa JPM na Wasadizi wake huwa wanayafanyia mno Maoni ya hapa JF hivyo unataka Maoni yetu ili yakubebe na akuteue Ugombee Wewe.
 
Mna mu overate sana Bashite.Sipendi kuhusishwa naye.Hahusiki kwa namna yoyte ile katika jambo hili na wala kwa principles zangu sidhani kama naweza kufanya kazi na mtu wa calibre yake

Cheza na 'Wapumbavu' Wenzako wote ila siyo Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE sawa? Nilikushtukia mapema sana na sasa 'tunakusanifu' tu.
 
Ndugu wakazi wa Wilaya ya Kigamboni;

Ninapenda kuwajulisha kuwa kuanzia Jumapili tarehe 9 mwezi wa nane,2020 hadi Jummane tarehe 11 Mwezi wa 8,2020 kutafanyika shughuli ya ukusanyaji wa taarifa na maoni ya wananchi wakazi wa wilaya ya Kigamboni Juu ya matamanio yao maoni, na matarajioi yao kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020.

Zoezi hili litahusisha kata zote za wilaya ya Kigamboni na linalenga kuwafikia wakazi wapatao 4000 kwa ajili ya kukusanya maoni yao juu ya maeneo ambayo wangependa yapewe kipaumbele na uongozi utakaochaguliwa na matarajio yao kwa miaka mitano ijayo

Maoni yote na ushauri wa mambo ambayo ungependa yawe kipaumbele katika uchaguzi huu yatapokelewa kwa njia ya Email:
mbungekigamboni20@gmail.com. au kwa kuzungumza na wakusanya taarifa ambao watapita katika maeneo mbalimbali katika wilaya yetu kupata taarifa za wananchi.
Kumbuka zoezi hili ni muhimu katika katika maendele.

Zoezi halina uhusiano na chama chochote cha siasa wala taasisi yoyote bali ni jitihada za Wana Kigamboni katika kutaka kuweka malengo ya pamoja kwa miaka mitano na kujua vipaumbele katika kila kata

Zoezi hili ni muhimu kwani litasaidia kuwawezesha wanakigamboni kushiriki katika kupanga sera na mipango ya maendeleo kwa kata zao na mitaa yao.Ripoti kamili ya zoezi hili itatolewa Ijumaa Tarehe 21 August 2020

Maoni yatumwe kwenda kwa EMAIL.mbungekigamboni20@gmail.com
Kumbuka kutaja mtaa ulipo katika kutoa maoni yako ili kusaidia katika ufuatiliaji.

Asanteni Sana kwa ushiriki wenu.

Taarifa Imetolewa,

Gwakisa M.J
Mdau wa Maendeleo Wilaya ya Kigamboni

RATIBA YA SHUGHULI HII ITAKUWA KAMA IFUATAVYO
Jumapili -9Aug 2020 Wataalamu wetu watakuwa katika kata za Vijibweni,Tungi,Kigamboni na Mjimwema-Iwapo Ungependa kuzungumza nao tafadhali wasiliana nasi kwa email ili tukufikie ila unaweza kutuma maoni yako pia kwa njia ya EMAIL
Jumatatu tarehe 10 Augu 2020 tutakuwa katika Kata za Kibada,Kisarawe 2 na Baadhi ya maeneo ya kata Jirani
Jumanne Tutafika katika kata za Somangila,Kimbiji na Pemba Mnazi.

Iwapo unapenda kuzungumza nasi tafadhali wasiliana nasi kwa email ila unaweza kutuma maoni yako kwa njia ya email.
Nawatakieni Ushiriki mwema
Katumwa afanye utafiti na maccm au somebody else...

Fvck you nigga!
 
Kwa aina tu ya 'Dossier' zake ambazo mara kwa mara Watu wa ( Eagle Wing House ) Obey walikuwa wakimpelekea JPM Jamaa ameshachokwa!!!!
Yayumkinika kuwa yeye mwenyewe Bashite ni " Eagle winger" ndio kusema mbwa kala Mbwa??
 
Back
Top Bottom