Taarifa Kwa Umma: Fact Finding Mission-Jimbo la Kigamboni

Taarifa Kwa Umma: Fact Finding Mission-Jimbo la Kigamboni

Lazima wawe na ethical clearance kuhakikisha no conflict of interest arises.
Ethical clearance inatolewa na nini.Conflicts of interest zinatokeaje?fafanua zaidi maana inaoneka unaelewa ila unataka kujitoa fahamu
 
REDET NA TWAWEZA wanakuja kivingine. Wamepata wapi Ethical clearance wakati uendeshaji wa kinachoitwa fact finding kinafanywa na watu binafsi. Watu wanafanya assessment kwenye wilaya na hawajulikani ni watu gani. Ni taasisi gani na wamepewa ruhusa na nani??

Walivyopitisha sheria ya Takwimu na Utafiti walijua wanakomesha Twaweza tu baada ya kuonesha utafiti wao kushuka kwa kasi umaarufu wa Baba mwenye nyumba.

Sasa wanakwama.

Hiyo email inaweza kuwa Scam. Be careful wana kigamboni.
Scam in what basis?
 
Ndugu wakazi wa Wilaya ya Kigamboni;

Ninapenda kuwajulisha kuwa kuanzia Jumapili tarehe 9 mwezi wa nane,2020 hadi Jummane tarehe 11 Mwezi wa 8,2020 kutafanyika shughuli ya ukusanyaji wa taarifa na maoni ya wananchi wakazi wa wilaya ya Kigamboni Juu ya matamanio yao maoni, na matarajioi yao kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020.

Zoezi hili litahusisha kata zote za wilaya ya Kigamboni na linalenga kuwafikia wakazi wapatao 4000 kwa ajili ya kukusanya maoni yao juu ya maeneo ambayo wangependa yapewe kipaumbele na uongozi utakaochaguliwa na matarajio yao kwa miaka mitano ijayo

Maoni yote na ushauri wa mambo ambayo ungependa yawe kipaumbele katika uchaguzi huu yatapokelewa kwa njia ya Email:
mbungekigamboni20@gmail.com. au kwa kuzungumza na wakusanya taarifa ambao watapita katika maeneo mbalimbali katika wilaya yetu kupata taarifa za wananchi.
Kumbuka zoezi hili ni muhimu katika katika maendele.

Zoezi halina uhusiano na chama chochote cha siasa wala taasisi yoyote bali ni jitihada za Wana Kigamboni katika kutaka kuweka malengo ya pamoja kwa miaka mitano na kujua vipaumbele katika kila kata

Zoezi hili ni muhimu kwani litasaidia kuwawezesha wanakigamboni kushiriki katika kupanga sera na mipango ya maendeleo kwa kata zao na mitaa yao.Ripoti kamili ya zoezi hili itatolewa Ijumaa Tarehe 21 August 2020

Maoni yatumwe kwenda kwa EMAIL.mbungekigamboni20@gmail.com
Kumbuka kutaja mtaa ulipo katika kutoa maoni yako ili kusaidia katika ufuatiliaji.

Asanteni Sana kwa ushiriki wenu.

Taarifa Imetolewa,

Gwakisa M.J
Mdau wa Maendeleo Wilaya ya Kigamboni
Wewe Bashite hem tulia huko. Mbona una kihere here weweee. Unapenda kujipenyeza kama ushuzi.

Mbona unapenda sana uongozi weweeee.
Mijitu mingine bhana
 
Hii Survey/Research yenu iko funded nani?
 
Ethical clearance inatolewa na nini.Conflicts of interest zinatokeaje?fafanua zaidi maana inaoneka unaelewa ila unataka kujitoa fahamu
Mkuu Andoza unachoenda kufanya kama fact checking/ finding kinachohusisha umma( idadi ya watu wengi) kwenye jambo lenye maslahi kwa umma huwezi kuja tu na kajitangazo hapa JF kirahisi rahisi. Lazima tukujue wewe ni nani?? Na umetumwa au unajituma. Kusema tu kwa maneno kuwa hufungamani na siasa za upande fulani haitoshi.
 
Mkuu Andoza unachoenda kufanya kama fact checking/ finding kinachohusisha umma( idadi ya watu wengi) kwenye jambo lenye maslahi kwa umma huwezi kuja tu na kajitangazo hapa JF kirahisi rahisi. Lazima tukujue wewe ni nani?? Na umetumwa au unajituma. Kusema tu kwa maneno kuwa hufungamani na siasa za upande fulani haitoshi.
So unamaanisha kwamba nini kifanyike
 
Back
Top Bottom