Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wewe Gwakisa ndio yule uliyejiuza kwa bei rahisi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeshafanya utafiti na kujiridhisha kwamba kila mkaazi ana email na kuweza kuwasiliana nanyi?Ikifika wakati wa kampeni itakuwa kampeni ila kwa sasa ni fact finding tu.
Kwanini utumie hiyo njia ya email ama baruapepe?Mkuu hii ni kazi kama kazi nyingine kwa kuna ubaya kuwa na taarifa na maoni ya wana Kigamboni?
Mnachotaka kufanya hamtafanikiwa.Email ni kwa wenye nazo,sisi tutakuwa field zaidi.
Facts finding Kwa manufaa ya Nani?!...hayo mahitaji ya wanakigamboni yanabadirika kila wakati,nakushauri hiyo KAZI umwachie atakayeshinda ubunge,ndio KAZI yake kuwazungukia wananchi kuchukua kero zao na kuzipereka serikalini Kwa utatuzi... wanakigamboni Kwa sasa wanasubiria October wachague Mwakilishi wa kuwasaidia na sio siku nyingi zilizopita walitoa indication ya Nani wangependa wamtume Dodoma na Trust me waliogombea wote walishafanya utafiti na Kwa SASA mchakato uko hatua nzuri na kama unawatakia mema wanakigamboni, ningekushauri uwaachie KAZI waliyokwisha ianza waimalizie.Ikifika wakati wa kampeni itakuwa kampeni ila kwa sasa ni fact finding tu.
Mbona watu wana hofu za namna hii,Mimi nafahamu ninachokifanya sijui kama wewe unaelewa ulichokisemaFacts finding Kwa manufaa ya Nani?!...hayo mahitaji ya wanakigamboni yanabadirika kila wakati,nakushauri hiyo KAZI umwachie atakayeshinda ubunge,ndio KAZI yake kuwazungukia wananchi kuchukua kero zao na kuzipereka serikalini Kwa utatuzi... wanakigamboni Kwa sasa wanasubiria October wachague Mwakilishi wa kuwasaidia na sio siku nyingi zilizopita walitoa indication ya Nani wangependa wamtume Dodoma na Trust me waliogombea wote walishafanya utafiti na Kwa SASA mchakato uko hatua nzuri na kama unawatakia mema wanakigamboni, ningekushauri uwaachie KAZI waliyokwisha ianza waimalizie.
acha porojo umetumwa na Makonda ww, au unadhani humu ndani wamejaa watoto?Mkuu Makonda hana uwezo wa kutulipa,Hii ni Fact finding Mission tu.
Wewe kama nani kwanza mkuu wa tume au mjumbe halmashauri kuu emu kaa pembeni basi.Mbona watu wana hofu za namna hii,Mimi nafahamu ninachokifanya sijui kama wewe unaelewa ulichokisema
hamuwez fikiri zaid ya urefu wa pua zenu..ndio maana kila mtu amekushtukiaMna mu overrate makonda sana