Taarifa Kwa Umma: Fact Finding Mission-Jimbo la Kigamboni

Taarifa Kwa Umma: Fact Finding Mission-Jimbo la Kigamboni

Miaka mitano iliyopita ulikuwa wapi?
Kama kweli huna malengo ya kisiasa kwanini usisubiri uchaguzi upite uje na hizi tafiti zako?

Mkuu kama nia ni ubunge hujapitwa, kuna vyama kadhaa bado havijapata wagombea Kigamboni.
Kama nia yako ni tiketi ya CCM unachofanya ni fujo maana wana CCM wa Kigamboni waneshaamua.
 
Huwezi badilisha ideology za watu kupitia siasa uchwara za kujikomba kwa watu.
Laiti ungelijua comment zako zinavoumiza moyo wangu.Naililia Tanzania ambayo ina watu wenye fikra za aina yako ambao ni wengi kwani hata mtaani watu wanafikra kama hizo.najiuliza sana namna bora ya kuweza kubadili fikra zetu ni ipi na wala sioni.Nakulilia Tanzania
 
Miaka mitano iliyopita ulikuwa wapi?
Kama kweli huna malengo ya kisiasa kwanini usisubiri uchaguzi upite uje na hizi tafiti zako?

Mkuu kama nia ni ubunge hujapitwa, kuna vyama kadhaa bado havijapata wagombea Kigamboni.
Kama nia yako ni tiketi ya CCM unachofanya ni fujo maana wana CCM wa Kigamboni waneshaamua.
Mkuu na wewe umeingia katika janga hilo hilo?
 
Mkuu,Does it matter or is the typical reactionary mindset.We can do it for other areas as well if there is a person interested with such data.You are welcome to take part if you are based in Kigamboni.I hope your mind is eased.

It is a valid question, who are you na why kigamboni. I would add another question, why now ?
Those who live in the said area don't need a study, to create a wishlist. The issues are known

Your email address is mbungekigamboni .... that also raises more questions...

We aren't that dumb.. !!
 
Who said you are dumb?What is valid?Is it an insult?
 
IMG-20200807-WA0118.jpg

Ulikuwa wapi wenzako waki-pose????
 
Naona mzee una mkusanyia hoja za kampeni mgombea mmojawapo wa Kigamboni.
Safi sana, mjini akili.
Angalau wewe umeanza kuelewa...Wengine naona wana sentiments.Kama wewe ni kazi wa Kigamboni unaweza leta maoni yako pia
Kama matokeo ya kazi hii yatafikishwa kwa wagombea wote itakuwa poa vinginevyo hii itamsaidia mmoja tu, na kama ni hivyo kima adili wakusanya data na sponsor wao wanatakiwa wajitambulishe na waliweke hili wazi.
 
Why Kigamboni???who are you ???
REDET NA TWAWEZA wanakuja kivingine. Wamepata wapi Ethical clearance wakati uendeshaji wa kinachoitwa fact finding kinafanywa na watu binafsi. Watu wanafanya assessment kwenye wilaya na hawajulikani ni watu gani. Ni taasisi gani na wamepewa ruhusa na nani??

Walivyopitisha sheria ya Takwimu na Utafiti walijua wanakomesha Twaweza tu baada ya kuonesha utafiti wao kushuka kwa kasi umaarufu wa Baba mwenye nyumba.

Sasa wanakwama.

Hiyo email inaweza kuwa Scam. Be careful wana kigamboni.
 
Kama matokeo ya kazi hii yatafikishwa kwa wagombea wote itakuwa poa vinginevyo hii itamsaidia mmoja tu, na kama ni hivyo kima adili wakusanya data na sponsor wao wanatakiwa wajitambulishe na waliweke hili wazi.
Lazima wawe na ethical clearance kuhakikisha no conflict of interest arises.
 
Kama matokeo ya kazi hii yatafikishwa kwa wagombea wote itakuwa poa vinginevyo hii itamsaidia mmoja tu, na kama ni hivyo kima adili wakusanya data na sponsor wao wanatakiwa wajitambulishe na waliweke hili wazi.
Mkuu,Wakitaka kupata wanaweza kuipata,kwa sababu tutaiweka public.
 
Back
Top Bottom