Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Huenda kuna vitu alivisahau. LabdaHuyu mkubwa si kaongea juzi tu hapa? Anahisi hakuweza kufikisha ujumbe vizuri anataka arudie?
Anakuja kujibu hoja ya bila mabeberu we are nothing. Tl aliitoa juzi/Jana.Huyu mkubwa si kaongea juzi tu hapa? Anahisi hakuweza kufikisha ujumbe vizuri anataka arudie?
anataka kukanusha ile njama ya kishamba ya kurekodi single studioHakuna wa kumuani huyu!
Tunasubiri propaganda nyepesi kutoka kwa huyu mtu!
Ameona ile ya kwake imefunikwa na press ya Lissu. Anakubali tu kwamba Polepole siyo size ya LissuHuyu mkubwa si kaongea juzi tu hapa? Anahisi hakuweza kufikisha ujumbe vizuri anataka arudie?
Kwani huko CCM anayegombea ni Magufuli au Polepole? Maana naona ndiye anayeitisha press na kuleta hoja japo ni vioja ni Polepole.Hakuna wa kumuani huyu!
Tunasubiri propaganda nyepesi kutoka kwa huyu mtu!
Jembe hili linasubiliwa kwa hamuNdugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako
Tuna Jambo Letu Leo
•Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote [emoji736][emoji736][emoji736] kwa Mkweli Namba1 @MagufuliJP•View attachment 1582246
Mkisikia Polepole anafanya press mnarukwa na matumboHakuna wa kumuani huyu!
Tunasubiri propaganda nyepesi kutoka kwa huyu mtu!
Basi atajibu Ole sendeka!CCM Polepole ni mwepesi sana kujibu hoja za Lissu. Tafuteni mwenye uwezo huo.
Labda Abdalah Posi angeweza kujibu hoja za LissuBasi atajibu Ole sendeka!