Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Hakuna wa kumuani huyu!
Tunasubiri propaganda nyepesi kutoka kwa huyu mtu akijaribu kujibu hoja za Lissu.
Propaganda inamsaidia nini shangazi yako kijijini ambaye bado huduma ya umeme haijamfikia?Kipuuzi hakijui hata propaganda
HUYU NI TAKATAKA ASIYE NA THAMANI....MUONGO NA MWIZI WA KURA NA PESANdugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako
Tuna Jambo Letu Leo
Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote kwa Mkweli Namba1, Dkt. Magufuli
View attachment 1582246
Anaijenga CCM ndo maana unamchukiaHuyu Mavi kunuka atazidi kuwaharibia ccm tu 🤣🤣🤣
Nimeisikiliza hiyo taarifa au hotuba ya Humphrey Polepole...very touching indeed....hao waliomuua huyo dogo polisi iwataje haraka ...hata Kama ni watuhumiwa tuwajue...Ndugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako
Tuna Jambo Letu Leo
Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote kwa Mkweli Namba1, Dkt. Magufuli
View attachment 1582246
Rekebisha kiswahili ulicho tumia uje tuunge mkono hoja.Waandishi wa habari mtusaidiekumuhuliza haya maswali.
1: Kwani nini mgombea wa ccm amewahita wakurugenzi wote Dodoma? Je si kosa kisheria mgombea kuwahita hao wazimamizi wakati huu wa kampeni?
2: Mgombea kutoa pesa au maagizo ya utekelezaji wa miradi mbalimbali kwenye kampeni si rushwa? Na kama si rushwa je hiyo inahitwaje, na je mgombea mwingine akitoa pesa kutekeleza jambo fulani akiwa kwenye kampeni ni sawa?
Press conferences za Polepole tu zinawatoa macho hivi. Je, siku akija Mgombea Mwenza Samia itakuwaje!?
Tatizo lako ni uwezo wa kufikiri na kuelewa literary writings.Ahaaaa ahaaaa eti akija mgombea mwenza, kwani mgombea mkuu yuko wapi, au yeye hana uwezo wa kujieleza?
Tatizo lako ni uwezo wa kufikiri na kuelewa literary writings.
Rekebisha kiswahili ulicho tumia uje tuunge mkono hoja.
Haraka ya nini?
Darasa la saba au shule za kata mbona ziko vzr tu
Utake usitake akili imewarukaYaani mtu mwenye akili timamu arukwe na tumbo kwa utumbo wa hicho kibabu....ama kweli lumumba ina maajabu