Headcorner
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 205
- 292
Taarifa hii nimeipata kwenye moja ya magazeti hapa nchini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FCC nao wanajihami ili wawe upande salama. Ni sehemu ya mchakato kama ambavyo ndoa zinatakiwa kutangazwa mara tatu mfululizo katika wiki tatu (siku 21) huko makanisani
Simba wasipojitafakari huyu Mo atawatumbukiza shimoni..anafanya anavyotaka yeye
Bilionea MO ameshawahi hadi kuwa mbunge.... lakini sina kumbukumbu ya kitu chochote alichowahi kuwafanyia watanzania kisichompa faida kubwa kwanza kwake binafsi
Kama nakosea Headcorner nikumbushe
Ni kweli hujui alikua chama gani???Alikuwa Mbunge kupitia chama gani?
Kila sehemu yupo kimaslahi hata Ubunge aliutafuta kwa ajili ya maslahi yake binafsi na baada ya kukipata alichokipata hakutaka tena kuwa mbunge..Bilionea MO ameshawahi hadi kuwa mbunge.... lakini sina kumbukumbu ya kitu chochote alichowahi kuwafanyia watanzania kisichompa faida kubwa kwanza kwake binafsi
Kama nakosea Headcorner nikumbushe
Ni kweli hujui alikua chama gani???
Haya alikua CCM
Awamu hii vyombo vya serikali vimeota meno makaliKila sehemu yupo kimaslahi hata Ubunge aliutafuta kwa ajili ya maslahi yake binafsi na baada ya kukipata alichokipata hakutaka tena kuwa mbunge..
Wabunge wa vyama vingine waliowahi kutokea wameifanyia nini nchi hii zaidi ya kuwaneemesha Mabeberu na kujineemesha wenyewe nyuma ya mgongo wa upinzani?Kama alikuwa ni Mbunge wa CCM hainishangazi yeye kutofanya chochote kile. Ni kawaida yao.