Taarifa kwa umma kuhusu uchunguzi wa mabadiliko klabu ya Simba

Bilioni 20 hajaweka..bado amekuwa akifanya maamuzi kwenye timu bila kuwashirikisha hata wawakilishi wa wanachama..Mo kiukweli ni tapeli tu hii timu aanaipeleka shimoni
Nenda uiwahi kabla haijaingia shimoni!!! Tatizo mawazo ya kijima na ujamaa yamekutawala!! Dunia ya leo ukiona sehemu yenye fursa itumie!! Kumuita muhindi tapeli ni ujuha!!, Na wengi mnaosema hivyo ni wale ambao hamjawahi, kusubutu kufanya jambo lolote la manufaa zaidi ya kupokea kifuta jasho baada ya mzunguko wa siku thelathini!!
 
MO hajawahi kuwa mtu mwema kwa watanzania, niliungana na Hamis kwenye lile jambo lake na MO sababu ni huyu jamaa;

Amekua mbinafsi sana mwenye kujua kujificha nyuma ya utanzania ambao kwake hauna thamani

Amekua mwajiri asiyejali maslahi ya watumishi wake tena amewanyonya sana watanzania wanaomtumikia

Amekua mchuuzi wa mazao anayewaumiza wakulima maskini

Amekua muwekezaji aliyekabidhiwa ardhi ya nchi hii lakini hakuna manufaa kwa taifa

Sasa amehamia kwa michezo
Wewe utakuwa ni widow au single mama mwenye stress kali Sana!! Hivi dunia ya leo ya kibepari!! Bado unatafuta huruma kwa gia ya utaifa!! Ujiulizi kwa nn serikali (wanasiasa)wanatunga sheria kali kwa mtu asielipa kodi!! Wakati huo huo wenyewe ndio wanapokea pesa nyingi kupitia pesa hizo hizo za kodi na hawalipi kodi hata thumni!!! Ujiulizi viongozi wako wakuu wa Nchi hawalipi hata mia ya kodi!!na bado mnawa hudumia kwa kuwanunulia kila kitu!! Ndugu dunia hii ni ya ubepali inaamuliwa kwa nguvu ya soko!! Usiwe na mawazo ya kijima!! Tafuta pesa tafuta fursa itumie acha upumbavu!! Somebody mutahaba, alipokuwa ana wahubiri mgeuze changamoto kuwa fursa hamkuelewa!! Vilabu hivi vya Simbasc na utopolo sc, vilikuwa vipo tu havina mwenyewe, wahindi na waarabu wamechungulia wameona kuna fursa hapa wanaitumia nyie mnabaki na kelele na roho zenu za kichawi!!
 
Acha kukurupuka wewe, shida yenu NYANI FC, akisemwa tu No, tayari akili zinawaruka!!yaani kwa mawazo haya unaonekana bora MTU amseme vibaya mama yako kuliko huyo, mnyonyaji!!kwa hiyo akiuza vitu vya shilingi mia ndio asiwathamini wafanya kazi wake??kwani wenzake kama kina BAKHRESA, mbona angalau wao wana unafuu kidogo, kwani hawalipi kodi??unafikiria no kwanini products nyingi za no hazifanyi vizuri sokoni?!!ukilinganisha na za AZAM?, we we unaacha kutafuta wataalam una karia kuiga iga tu products za watu??!!nenda kwa madreva wake, ukasikie kilio chao, nenda viwandani kwake?!!SASA kuna public notes huko kutoka tume ya ushindani, na wao wameshaona janja janja take, hadi Leo bilioni 20 ziko wapi?!!we we kaa utulie , kwenye mabishano ya mpira ambayo unaaminishwa kuwa kwa simba hii akija barca , madrid, hatoki, na unashangilia, kwa kuwa wameshawaona ndio mnayotaka kuyasikia hayo!!sio simba tu hats yanga no wale wale tu!!huku kwingine kwenye uchumi waachie wenye uwezo was kutafakari!!ETI ANALIPA KODI, SO WHAT?
Una unaonekana mtupu kichwani!! Ujui ilo takwa ni la kisheria lazima tangazo liwekwe public ili watu kama mapingamizi wapeleke pamoja na evidence supports!! Ngumbaru wewe!! Kama bidhaa za MO hazifanyi vizuri sokoni!! Soko lipi ilo!! la kwako na mume wako chumbani!! Kama unaona MO halipi vizuri amia kwa bakhreesa!!Au kalime bamia uko mbutu kwa yericko nyerere!! Inaonekana umeshazunguka mno kwenye viwanda vya wahindi!!!
 
Wewe utakuwa ni widow au single mama mwenye stress kali Sana!! Hivi dunia ya leo ya kibepari!! Bado unatafuta huruma kwa gia ya utaifa!! Ujiulizi kwa nn serikali (wanasiasa)wanatunga sheria kali kwa mtu asielipa kodi!! Wakati huo huo wenyewe ndio wanapokea pesa nyingi kupitia pesa hizo hizo za kodi na hawalipi kodi hata thumni!!! Ujiulizi viongozi wako wakuu wa Nchi hawalipi hata mia ya kodi!!na bado mnawa hudumia kwa kuwanunulia kila kitu!! Ndugu dunia hii ni ya ubepali inaamuliwa kwa nguvu ya soko!! Usiwe na mawazo ya kijima!! Tafuta pesa tafuta fursa itumie acha upumbavu!! Somebody mutahaba, alipokuwa ana wahubiri mgeuze changamoto kuwa fursa hamkuelewa!! Vilabu hivi vya Simbasc na utopolo sc, vilikuwa vipo tu havina mwenyewe, wahindi na waarabu wamechungulia wameona kuna fursa hapa wanaitumia nyie mnabaki na kelele na roho zenu za kichawi!!

Hao widow na single mama unaowatukana na kuwadharau hapa wameingiaje kwenye hii maada!?

Au huko kwenu bado mna zile imani kandamizi juu ya hayo makundi? Kama mama yako, dada zako na shangazi zako wakiwa widow na single mamaz ndio unawatreat hivyo wewe ni mpuuzi wa kupuuzwa.

Nirudi kwenye maada, nilichoandika nimeandika! Kila nchi inaongozwa kwa sheria na taratibu, kama MO ni bepari sio dhambi ila kama anafanya ubepari kwa kunyonya watu lazima sheria ifuate mkondo wake! Kama wewe ndio huyo MO basi ujue hicho nilichoandika hapo ni rasharasha tuu mvua hazijaanza

Na wakati mwingine ujifunze kwamba hili ni jukwaa huru la watu wenye akili na ustaarabu. Kila mtu ana uhuru wa kutoa mchango wake na kusikiliza au kusoma michango ya wenzie. Tunashindana kwa hoja na sio matusi.....

Mzee mwenzangu hapa anakuambia kama wewe ni mwanamke jifunze kuwa na kauli nzuri kwa jamii na kama wewe ni mwanaume na kwa mitazamo yako hiyo basi wewe ni kati ya hasara za taifa hili☺☺☺
Mwanaume una stress kama yule aliyeambiwa mtoto sio wake kha 🙄🙄🙄🙄

Yaani wewe ni binadamu lakini akili yako kidogo hadi unitia huruma ndugu change formula 😂😂😂😂
 
Bilioni 20 hajaweka..bado amekuwa akifanya maamuzi kwenye timu bila kuwashirikisha hata wawakilishi wa wanachama..Mo kiukweli ni tapeli tu hii timu aanaipeleka shimoni
Shimoni ndio kutinga makundi Klabu Bingwa Afrika, au kufika robo fainali Klabu Bingwa Afrika?! nyie waswahili mna matatizo sana.
 
MO hajawahi kuwa mtu mwema kwa watanzania, niliungana na Hamis kwenye lile jambo lake na MO sababu ni huyu jamaa;

Amekua mbinafsi sana mwenye kujua kujificha nyuma ya utanzania ambao kwake hauna thamani

Amekua mwajiri asiyejali maslahi ya watumishi wake tena amewanyonya sana watanzania wanaomtumikia

Amekua mchuuzi wa mazao anayewaumiza wakulima maskini

Amekua muwekezaji aliyekabidhiwa ardhi ya nchi hii lakini hakuna manufaa kwa taifa

Sasa amehamia kwa michezo
Unachanganya siasa na michezo, mambo ya siasa weka huko pembeni ndio maana MO sasa sio mbunge tena, kumuhukumu kwa hayo ni ujinga, mambo ya ajira kwenye viwanda vyake hakuna alielazimishwa kwenda wameenda wenyewe, hata serikali yako unayoipigia makofi kila siku haijapandisha watu mishahara mwaka wa tano huu.

MO ujio wake Simba FC umeipeleka Simba robo fainali Klabu Bingwa Afrika, now Simba ipo hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika, anawalipa mishahara wale wachezaji ambayo hawakuwahi kuota kulipwa, Simba inasajili mchezaji yeyote itakayemtaka hakuna wakushindana nao hapa East Afrika, na Simba ndio bingwa mara mfululizo wa ligi kuu Bara.

Kwa hayo hapo juu kusema ulikuwa upande wa huyo mzee Kilomoni nawaona nyie wote ni wachawi tu, mnataka kuiporomosha Simba ndio mfurahi, hakika mtashindwa.
 
Unachanganya siasa na michezo, mambo ya siasa weka huko pembeni ndio maana MO sasa sio mbunge tena, kumuhukumu kwa hayo ni ujinga, mambo ya ajira kwenye viwanda vyake hakuna alielazimishwa kwenda wameenda wenyewe, hata serikali yako unayoipigia makofi kila siku haijapandisha watu mishahara mwaka wa tano huu.

MO ujio wake Simba FC umeipeleka Simba robo fainali Klabu Bingwa Afrika, now Simba ipo hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika, anawalipa mishahara wale wachezaji ambayo hawakuwahi kuota kulipwa, Simba inasajili mchezaji yeyote itakayomtaka hakuna wakushindana nao hapa ndani, na Simba ndio bingwa mara mfululizo wa ligi kuu Bara.

Kwa hayo hapo juu kusema ulikuwa upande wa huyo mzee Kilomoni nawaona nyie wote ni wachawi tu, mnataka kuiporomosha Simba ndio mfurahi, hakika mtashindwa.
Sijachanganya chochote, nimeandika kuhusu MO kama MO
 
MO hajawahi kuwa mtu mwema kwa watanzania, niliungana na Hamis kwenye lile jambo lake na MO sababu ni huyu jamaa;

Amekua mbinafsi sana mwenye kujua kujificha nyuma ya utanzania ambao kwake hauna thamani

Amekua mwajiri asiyejali maslahi ya watumishi wake tena amewanyonya sana watanzania wanaomtumikia

Amekua mchuuzi wa mazao anayewaumiza wakulima maskini

Amekua muwekezaji aliyekabidhiwa ardhi ya nchi hii lakini hakuna manufaa kwa taifa

Sasa amehamia kwa michezo
Mimi nashauri afirisiwe mali yote...
 
Sijachanganya chochote, nimeandika kuhusu MO kama MO
Wacha kulia lia, kama una ushahidi wa chochote alichofanya bila kufuata sheria nenda mahakamani, sio unamchafua huku kwa tuhuma usizo na ushahidi nazo, always talk is cheap.

Kuna MO wa siasa, MO wa Simba, na MO muajiri, kama hujui kutofautisha hivyo bora ukae kimya.
 
Kati yangu na wewe nani analialia hapa😂😂😂😂

Ushahidi utakosekanaje sasa, unaweza vunja sheria kwa muda lakini itakuja siku ya kuwajibika tuu

FCC wameanza mengine yatafuata
 
Kati yangu na wewe nani analialia hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ushahidi utakosekanaje sasa, unaweza vunja sheria kwa muda lakini itakuja siku ya kuwajibika tuu

FCC wameanza mengine yatafuata
Kwahiyo unalia lia MO anavunja sheria lakini ushahidi huna, unasubiri wengine wakupelekee....hahahaaa huu ndio uchawi wenyewe sasa.
 
Una unaonekana mtupu kichwani!! Ujui ilo takwa ni la kisheria lazima tangazo liwekwe public ili watu kama mapingamizi wapeleke pamoja na evidence supports!! Ngumbaru wewe!! Kama bidhaa za MO hazifanyi vizuri sokoni!! Soko lipi ilo!! la kwako na mume wako chumbani!! Kama unaona MO halipi vizuri amia kwa bakhreesa!!Au kalime bamia uko mbutu kwa yericko nyerere!! Inaonekana umeshazunguka mno kwenye viwanda vya wahindi!!!
Evidence supports!!!ndio neno pekee nililolielewa!!licha ya ungumbalu wangu, yaani ni ajabu kweli siku moja nilikusemea kuhusu mama yako, hukutoa povu kama hili ambalo unalitoa kwa KANJIBAI!!
 
Back
Top Bottom