Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
Wabunge wa vyama vingine waliowahi kutokea wameifanyia nini nchi hii zaidi ya kuwaneemesha Mabeberu na kujineemesha wenyewe nyuma ya mgongo wa upinzani?
Kwa hiyo tuhitimishe kwamba wote ni sawa.
BTW: Ukiwa upinzani unawezaje kuwaneemesha mabeberu?
Migodi - mabeberu wamepewa na CCM
Gas Mtwara - mabeberu wamepewa na CCM.