Taarifa kwa umma kuhusu uchunguzi wa mabadiliko klabu ya Simba

Taarifa kwa umma kuhusu uchunguzi wa mabadiliko klabu ya Simba

Acha kukurupuka wewe, shida yenu NYANI FC, akisemwa tu No, tayari akili zinawaruka!!yaani kwa mawazo haya unaonekana bora MTU amseme vibaya mama yako kuliko huyo, mnyonyaji!!kwa hiyo akiuza vitu vya shilingi mia ndio asiwathamini wafanya kazi wake??kwani wenzake kama kina BAKHRESA, mbona angalau wao wana unafuu kidogo, kwani hawalipi kodi??unafikiria no kwanini products nyingi za no hazifanyi vizuri sokoni?!!ukilinganisha na za AZAM?, we we unaacha kutafuta wataalam una karia kuiga iga tu products za watu??!!nenda kwa madreva wake, ukasikie kilio chao, nenda viwandani kwake?!!SASA kuna public notes huko kutoka tume ya ushindani, na wao wameshaona janja janja take, hadi Leo bilioni 20 ziko wapi?!!we we kaa utulie , kwenye mabishano ya mpira ambayo unaaminishwa kuwa kwa simba hii akija barca , madrid, hatoki, na unashangilia, kwa kuwa wameshawaona ndio mnayotaka kuyasikia hayo!!sio simba tu hats yanga no wale wale tu!!huku kwingine kwenye uchumi waachie wenye uwezo was kutafakari!!ETI ANALIPA KODI, SO WHAT?
Waache kazi basi waone kontena zinazimwgwa na chuo zitakavyoapply.......nilitangaza kinafsi fulani cha kazi nilipabga nilipe mshahara 250K nilipoona nyomi la intervew nikabdili mshahara 150K
 
Huyo jamaa hata sijui niseme nini, nakumbuka kipindi kile akiwa mbunge, huko jimboni kwake ilikuwa aibu, hadi wananchi wengi walikuwa wanaona bora tu kuongozwa na masikini kuliko mnasema mna kiongozi ambaye ni tajiri hata maji tu, madawati, majengo ya shule alikuwa hana muda huo!!yale yale ya yule mwenzake rostam!!kwenye viwanda vyake ni tabu tupu, hao wenzake tu, ni shida sembuse wewe mweusi!!
Acheni kuwa na vijiba vya roho,hata Kama mnamchukia nyie [emoji196][emoji196][emoji196] Mo,ni wapi mlimpata mchezaji Kipanya Malapa nyie Utopolo a.k.a [emoji196][emoji196][emoji196][emoji205][emoji205][emoji205][emoji240][emoji240][emoji240]?ni wananchi wa Jimbo gani walimwaga machozi hadharani kumtaka mbunge wao aendeleeee na ubunge?baada ya kufanyiwa figisufigisu ndani ya chama naye akaamua kujiuzuru?
 
Tulisema hapo zamani sana kwamba Mwamedi ni janja janja sana

Sasa mambo yameanza kua ya motoView attachment 1678089
Utopolo fc hawaishiwi viroja, pilipili isiyoila wewe inakuwashia Nini?
tapatalk_1610292932301.jpeg
FB_IMG_16094766830379433.jpeg
 
Acheni kuwa na vijiba vya roho,hata Kama mnamchukia nyie [emoji196][emoji196][emoji196] Mo,ni wapi mlimpata mchezaji Kipanya Malapa nyie Utopolo a.k.a [emoji196][emoji196][emoji196][emoji205][emoji205][emoji205][emoji240][emoji240][emoji240]?ni wananchi wa Jimbo gani walimwaga machozi hadharani kumtaka mbunge wao aendeleeee na ubunge?baada ya kufanyiwa figisufigisu ndani ya chama naye akaamua kujiuzuru?
Tatizo la bongo, kumejaa mashabiki wa mpira na sio wapenzi, yaani ukiikosoa simba basi wewe ni yanga, ukiikosoa yanga wewe ni simba, fikra za kipuuzi!!alikuwa mbunge kwa miaka mingapi?watu wanauliza hizo bilioni 20, ziko wapi?FCC, mbona wameweka mambo yote hadharani?kwenye huo uwekezaji kuna ujanja ujanja mwingi sana, ni suala la muda tu!!wakati ule FCC, hawajasema chochote alikuwa akisema wao ndio wana kwamisha mchakato, lakini toka kipindi kile, waanze kutoa taarifa umeshawahi kumsikia anasrma chochote tena?!!
 
CCM ya sasa haiwezi kuwa sawa na wapinzani wanaoongozwa na amstadam

Ndio maana imeweza kuvunja mikataba ya hovyo ya madini na gas ambayo chadema wanapiga kelele isivunjwe... Hivi mnakuaga na makazi huko kwa Mabeberu eee!?

Na itavunjwa tuu
Wewe hujitambui hata kidogo, waliuza hii nchi ni CCM. Nakushangaa unakomaa na MO wakati wenzako waligawana pesa kwa mifuko ya sandarusi
 
Wewe hujitambui hata kidogo, waliuza hii nchi ni CCM. Nakushangaa unakomaa na MO wakati wenzako waligawana pesa kwa mifuko ya sandarusi
Wewe ungekua unajitambua usingempigia kura fisadi aliyetumbuliwa na CCM awe rais wako kule chadema.....
Tulia weweee maana hujielewi mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom