Taarifa kwa umma kuhusu uchunguzi wa mabadiliko klabu ya Simba

Bilioni 20 hajaweka..bado amekuwa akifanya maamuzi kwenye timu bila kuwashirikisha hata wawakilishi wa wanachama..Mo kiukweli ni tapeli tu hii timu aanaipeleka shimoni
Nenda uiwahi kabla haijaingia shimoni!!! Tatizo mawazo ya kijima na ujamaa yamekutawala!! Dunia ya leo ukiona sehemu yenye fursa itumie!! Kumuita muhindi tapeli ni ujuha!!, Na wengi mnaosema hivyo ni wale ambao hamjawahi, kusubutu kufanya jambo lolote la manufaa zaidi ya kupokea kifuta jasho baada ya mzunguko wa siku thelathini!!
 
Wewe utakuwa ni widow au single mama mwenye stress kali Sana!! Hivi dunia ya leo ya kibepari!! Bado unatafuta huruma kwa gia ya utaifa!! Ujiulizi kwa nn serikali (wanasiasa)wanatunga sheria kali kwa mtu asielipa kodi!! Wakati huo huo wenyewe ndio wanapokea pesa nyingi kupitia pesa hizo hizo za kodi na hawalipi kodi hata thumni!!! Ujiulizi viongozi wako wakuu wa Nchi hawalipi hata mia ya kodi!!na bado mnawa hudumia kwa kuwanunulia kila kitu!! Ndugu dunia hii ni ya ubepali inaamuliwa kwa nguvu ya soko!! Usiwe na mawazo ya kijima!! Tafuta pesa tafuta fursa itumie acha upumbavu!! Somebody mutahaba, alipokuwa ana wahubiri mgeuze changamoto kuwa fursa hamkuelewa!! Vilabu hivi vya Simbasc na utopolo sc, vilikuwa vipo tu havina mwenyewe, wahindi na waarabu wamechungulia wameona kuna fursa hapa wanaitumia nyie mnabaki na kelele na roho zenu za kichawi!!
 
Una unaonekana mtupu kichwani!! Ujui ilo takwa ni la kisheria lazima tangazo liwekwe public ili watu kama mapingamizi wapeleke pamoja na evidence supports!! Ngumbaru wewe!! Kama bidhaa za MO hazifanyi vizuri sokoni!! Soko lipi ilo!! la kwako na mume wako chumbani!! Kama unaona MO halipi vizuri amia kwa bakhreesa!!Au kalime bamia uko mbutu kwa yericko nyerere!! Inaonekana umeshazunguka mno kwenye viwanda vya wahindi!!!
 

Hao widow na single mama unaowatukana na kuwadharau hapa wameingiaje kwenye hii maada!?

Au huko kwenu bado mna zile imani kandamizi juu ya hayo makundi? Kama mama yako, dada zako na shangazi zako wakiwa widow na single mamaz ndio unawatreat hivyo wewe ni mpuuzi wa kupuuzwa.

Nirudi kwenye maada, nilichoandika nimeandika! Kila nchi inaongozwa kwa sheria na taratibu, kama MO ni bepari sio dhambi ila kama anafanya ubepari kwa kunyonya watu lazima sheria ifuate mkondo wake! Kama wewe ndio huyo MO basi ujue hicho nilichoandika hapo ni rasharasha tuu mvua hazijaanza

Na wakati mwingine ujifunze kwamba hili ni jukwaa huru la watu wenye akili na ustaarabu. Kila mtu ana uhuru wa kutoa mchango wake na kusikiliza au kusoma michango ya wenzie. Tunashindana kwa hoja na sio matusi.....

Mzee mwenzangu hapa anakuambia kama wewe ni mwanamke jifunze kuwa na kauli nzuri kwa jamii na kama wewe ni mwanaume na kwa mitazamo yako hiyo basi wewe ni kati ya hasara za taifa hiliโ˜บโ˜บโ˜บ
Mwanaume una stress kama yule aliyeambiwa mtoto sio wake kha ๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„

Yaani wewe ni binadamu lakini akili yako kidogo hadi unitia huruma ndugu change formula ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Bilioni 20 hajaweka..bado amekuwa akifanya maamuzi kwenye timu bila kuwashirikisha hata wawakilishi wa wanachama..Mo kiukweli ni tapeli tu hii timu aanaipeleka shimoni
Shimoni ndio kutinga makundi Klabu Bingwa Afrika, au kufika robo fainali Klabu Bingwa Afrika?! nyie waswahili mna matatizo sana.
 
Unachanganya siasa na michezo, mambo ya siasa weka huko pembeni ndio maana MO sasa sio mbunge tena, kumuhukumu kwa hayo ni ujinga, mambo ya ajira kwenye viwanda vyake hakuna alielazimishwa kwenda wameenda wenyewe, hata serikali yako unayoipigia makofi kila siku haijapandisha watu mishahara mwaka wa tano huu.

MO ujio wake Simba FC umeipeleka Simba robo fainali Klabu Bingwa Afrika, now Simba ipo hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika, anawalipa mishahara wale wachezaji ambayo hawakuwahi kuota kulipwa, Simba inasajili mchezaji yeyote itakayemtaka hakuna wakushindana nao hapa East Afrika, na Simba ndio bingwa mara mfululizo wa ligi kuu Bara.

Kwa hayo hapo juu kusema ulikuwa upande wa huyo mzee Kilomoni nawaona nyie wote ni wachawi tu, mnataka kuiporomosha Simba ndio mfurahi, hakika mtashindwa.
 
Sijachanganya chochote, nimeandika kuhusu MO kama MO
 
Mimi nashauri afirisiwe mali yote...
 
Sijachanganya chochote, nimeandika kuhusu MO kama MO
Wacha kulia lia, kama una ushahidi wa chochote alichofanya bila kufuata sheria nenda mahakamani, sio unamchafua huku kwa tuhuma usizo na ushahidi nazo, always talk is cheap.

Kuna MO wa siasa, MO wa Simba, na MO muajiri, kama hujui kutofautisha hivyo bora ukae kimya.
 

Kati yangu na wewe nani analialia hapa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ushahidi utakosekanaje sasa, unaweza vunja sheria kwa muda lakini itakuja siku ya kuwajibika tuu

FCC wameanza mengine yatafuata
 
Kati yangu na wewe nani analialia hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ushahidi utakosekanaje sasa, unaweza vunja sheria kwa muda lakini itakuja siku ya kuwajibika tuu

FCC wameanza mengine yatafuata
Kwahiyo unalia lia MO anavunja sheria lakini ushahidi huna, unasubiri wengine wakupelekee....hahahaaa huu ndio uchawi wenyewe sasa.
 
Evidence supports!!!ndio neno pekee nililolielewa!!licha ya ungumbalu wangu, yaani ni ajabu kweli siku moja nilikusemea kuhusu mama yako, hukutoa povu kama hili ambalo unalitoa kwa KANJIBAI!!
 
mahakama zipo kila pembe ya Tanzania kafungueni kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ