Toughlendon
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 498
- 724
Mwenye huo uzi wa Awali apost hapa tafadhali
Bado hizo hela ni nyingi,
Kwa ufafanuzi huu, hakukuwa na upotoshaji wowote. Taarifa hii ina ukakasi zaidi
Japo Ufafanuzi wa mkurugenzi kuhusu gharama za mradi haukujitoshekezaAsante kwa ufafanuzi
Walete original singed BOQwezi hawa mastaaa, alafu kule kwenye ile uzi kuna kenge walikuwa wanabishawanabisha kuwa ile sio hela mingi, mkurugenzi kakubali ila hela kaiongezea kazi mingi alete BOQ, tuichambue hapa tuone inakuwaje
Naona huku mwishoni imewekwa na kitanzi kabisa,bila shaka mkurugenzi atakuwa muheheHiyo sahihi ya mkurugenzi ni kizungumkuti π
Huu upotoshaji unakuja sababu mnapenda fanya vitu gizani na miradi mingi haikamiliki hela mtakula au pindi vikikamilika utunzaji hakuna kama hamkutoa pesa mlitoa mawe hamna uchungu kabisa....haya tuambie cha juu mmeweka shs ngapi!
Mostly ni trenching kwaajili ya kupitisha Fiber Cables kwenda Control Room au kwenye server ila we all know vibarua wakuchimba wakiambulia hela nyingi ni 20k or less a day.Nikweli umechoandika Je kwenye ufungaji wa camera kaliakoo, civil work gani zinahitajika?.
Lakini kazunguka kwote karudi palepale kwama gharama za mradi ni million 500 na ushee Kwa kamera 40Kwanini msitoe ufafanuzi sahihi na wakueleweka tangu mwanzo wa utiwaji saini?
Lakini baadae mikshachafuliwa na watu wenye akili ndogo ndio mnatoka mashimoni na kuja kuleta ufafanuzi.
Nadhani hii tabia tuiache, taasisi zitoe na kuainisha kila kitu bayana na kwa ufasaha.
Lakini sio hii ya kutoa habari kisha kesho mnakuja kukanusha.
ππππ₯ Tunataka BOQ πππ
Ambaye ameona kuna utofauti na mtoa mada anayelalamikiwa naomba anieleweshe na mimi Wakuu...
Asante ni asante, asante pia kuona hiloJapo Ufafanuzi wa mkurugenzi kuhusu gharama za mradi haukujitoshekeza
AI au?Hiyo sahihi ya mkurugenzi ni kizungumkuti π