Taarifa kwa umma: Ufafanuzi wa taarifa iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kamera 40 kufungwa Kariakoo kwa Tsh milioni 514

Taarifa kwa umma: Ufafanuzi wa taarifa iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kamera 40 kufungwa Kariakoo kwa Tsh milioni 514

Mwenye huo uzi wa Awali apost hapa tafadhali

Kasome majitu majinga yalivyokuwa yanatetea
 
Nikweli umechoandika Je kwenye ufungaji wa camera kaliakoo, civil work gani zinahitajika?.
Mostly ni trenching kwaajili ya kupitisha Fiber Cables kwenda Control Room au kwenye server ila we all know vibarua wakuchimba wakiambulia hela nyingi ni 20k or less a day.
 
Kwanini msitoe ufafanuzi sahihi na wakueleweka tangu mwanzo wa utiwaji saini?
Lakini baadae mikshachafuliwa na watu wenye akili ndogo ndio mnatoka mashimoni na kuja kuleta ufafanuzi.
Nadhani hii tabia tuiache, taasisi zitoe na kuainisha kila kitu bayana na kwa ufasaha.
Lakini sio hii ya kutoa habari kisha kesho mnakuja kukanusha.
Lakini kazunguka kwote karudi palepale kwama gharama za mradi ni million 500 na ushee Kwa kamera 40
 
Yote yaleyale tu sema nyie mmeongeza vikorombwezo sjui vya civil works, sjui control room, manunuzi,
 
Back
Top Bottom