Taarifa kwa Umma: Ujenzi wa Mradi wa Kituo cha Kisasa cha Michezo unaendelea kwa kasi Kigamboni

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Hongera kwa Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Mzalendo nambari moja Dkt John Pombe Magufuli kwa kuthamini na kuwezesha kuwa na mazingira mazuri ya michezo

Ujenzi huo unasimamiwa na Shirikisho la Soka Nchini Tanzania ( TFF) maeneo ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam.

Hongera kwa Serikali ya awamu ya Tano kwa kuthamini na kuwezesha kuwa na mazingira mazuri ya michezo

Ujenzi huo unasimamiwa na Shirikisho la Soka Nchini Tanzania ( TFF) maeneo ya Kigamboni Jijini Dar es salaam
Ujenzi mwingi sana umefanyika hapo kabla kimyakimya lakini awamu hii kila ujenzi unaletwa mtandaoni ili warahisishe upigaji.
PLO Lumumba amewai sema ,, ukiona unatumia muda mrefu kujielezea kuhusu uliyoyafanya ujue wewe haujafanya kitu, waliofanya vitu wanakaa kimya halafu vitu vilivyofanyika vinakuelezea vyenyewe.
 
Hongera kwa Serikali ya awamu ya Tano kwa kuthamini na kuwezesha kuwa na mazingira mazuri ya michezo

Ujenzi huo unasimamiwa na Shirikisho la Soka Nchini Tanzania ( TFF) maeneo ya Kigamboni Jijini Dar es salaam
Hii ni habari njema kabisa..hongera serikali sikivu
 
Ni wajibu wa Serikali kueleza kwa ufasaha yale yanayofanywa ili kuepusha upotoshaji wa wale wasioitakia mema nchi yetu

Huwezi kaa kimya wakati watu wanatoa taarifa potofu!
 
Ni wajibu wa Serikali kueleza kwa ufasaha yale yanayofanywa ili kuepusha upotoshaji wa wale wasioitakia mema nchi yetu

Huwezi kaa kimya wakati watu wanatoa taarifa potofu!
Kelele nyingi za kuku kumbe anaenda kutaga kayai kamoja.
 
Reactions: BAK
 
Aisee bangi za wapi hizo zinakupeleka kusifu ovyo ovyo namna hiyo?
 
Sio kweli.
Mbona kunamtu juzi kapita Ufipa kaona wanaingiza ndani makopo ya rangi mawili?
Chadema wakisikia ujenzi wanakimbia ku comment sababu wao haeana mradi wowote wa unenzi wa ofisi ya makao makuu
Samahan wakuu, Chadema wamewakosea nini.??

Mbona sahiv mmewaziba midomo, mmewaondoa wote bungeni, hamruhusu habari zao kutangazwa kwenye vyombo vya habari lakini bado hamkauki kuwasema...

Mbona mmesema upinzani umekufa, sasa kwanini mnapenda kuwaongelea..
 
Umekosea Wabunge wa Chadema wapo Bungeni, wale wa kuchaguliwa Majimboni & Viti Maalumu

Chadema haijafa na haitokufa ila Ikulu ni jambo la kufikirika kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…