Taarifa kwa Umma: Ujenzi wa Mradi wa Kituo cha Kisasa cha Michezo unaendelea kwa kasi Kigamboni

Zamani pesa za FIFA zilikuwa zinafanya nini, au hazikuwa zikiletwa?
Ukitaka kujua hilo nenda kafanye secondary data gathering...... FIFA haijihusishi na siasa na ukithubutu kukata Hata mia ile unakula ban ya milele
 
Hongera kwa Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Mzalendo nambari moja Dkt John Pombe Magufuli kwa kuthamini na kuwezesha kuwa na mazingira mazuri ya michezo

Ujenzi huo unasimamiwa na Shirikisho la Soka Nchini Tanzania ( TFF) maeneo ya Kigamboni Jijini Dar es salaam
Uwanja kama huu pia,umeshaanza kujengwa jijini Tanga,kazi imeshaanza ya ujenzi.
 
Ndio tunauliza sasa, zilikuwa zinaenda wapi?
Mimi sio mwanasiasa kaka. Kwanza hiyo project ya hapo juu haijengwi tu Kigamboni inajengwa Tanga as well.

Pili hizi fedha za Fifa kwa ajili ya kuendeleza michezo kwa kuanzisha vituo vya kulea na kukuza vipaji nimeanza kusikia miezi kadhaa nyuma na hazijatolewa Tanzania tu zimetolewa kwenda kwenye many developing country in Africa.

Sio serikali ya Tanzania iliyoomba fedha hizo Fifa, ni maoni ya watu wa FIFA Katika kukuza soka la dunia ya tatu wakaamua kufinance hii miradi.

Serikali inayotoa ajira moja moja kwenye halmashauri na taasisi zake haina uwezo wa kufanya lolote, hiyo ni failure government.
 
CDM wanasimamia dhana nzima ya maendeleo ya WATU sio maendeleo ya VITU. Hivyo vile vibanda pale Ufipa mpaka vimporomokee mtu...!
 
Mimi sio mwanasiasa kaka. Kwanza hiyo project ya hapo juu haijengwi tu Kigamboni inajengwa Tanga as well.

Pili hizi fedha za Fifa kwa ajili ya kuendeleza michezo kwa kuanzisha vituo vya kulea na kukuza vipaji nimeanza kusikia miezi kadhaa nyuma na hazijatolewa Tanzania tu zimetolewa kwenda kwenye many developing country in Africa.

Sio serikali ya Tanzania iliyoomba fedha hizo Fifa, ni maoni ya watu wa FIFA Katika kukuza soka la dunia ya tatu wakaamua kufinance hii miradi.

Serikali inayotoa ajira moja moja kwenye halmashauri na taasisi zake haina uwezo wa kufanya lolote, hiyo ni failure government.
Kumbe miaka ya nyuma FIFA walikuwa hawatoi fedha sio?
 
FIFA wana program zao na project zao ili wakuze soka duniani na sio lazima projects zao kutufikia sisi toka 1970s huko...... Maybe now is our turn projects za Fifa kuwa initiated kwetu ila ni upuuzi kupotosha et serikali ya awamu yenu hii ndio imefanikisha hilo. Project zimefanyika nyingi mbona just pekua utazipata.
 
Okay, kumbe zamu yetu ya kupewa pesa za FIFA ndio hii ya mara kwanza, tangu 1970’s, duu
 
Back
Top Bottom