Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
UPDATES:
Huduma ya kuwaombea Wajane Wagane na WaleaPweke inaendelea kufanyika muda huu
Wadau hamjamboni nyote?
Siku ya leo ambayo ni sabato takatifu kwa mujibu wa maandiko nimeamua kuabudu kwenye Kanisa la Wasabato hapa Mwenge Dar es Salaam.
Pamoja na kukosoa mara kadhaa baadhi ya " Itikadi" za kisabato zinazoenda kinyume na maandiko lakini nitasalia kuwa Muumini mtiifu wa Kanisa la Waadvetista Wasabato.
Lengo langu sio uasi ila naweka sawa pale palipokaa vibaya huku lengo na tukiwa na tumaini kuu ni kukutana na Bwana wetu Yesu Kristo siku atakaporejea na Jeshi kubwa la malaika.
Muwe na siku njema wapendwa.