Taarifa Leo nimaabudu kwenye Kanisa la Wasabato Mwenge, nitaendelea kukosoa panapoenda mrama, nitaunga mkono palipo vema, lengo kuweka mambo sawa

Taarifa Leo nimaabudu kwenye Kanisa la Wasabato Mwenge, nitaendelea kukosoa panapoenda mrama, nitaunga mkono palipo vema, lengo kuweka mambo sawa

Ibada hata haijaanza ila unakosoa.


Sali kwanza ndio uje kukosoa
 
Wadau hamjamboni nyote?

Siku ya leo ambayo ni sabato takatifu kwa mujibu wa maandiko nimeamua kuabudu kwenye Kanisa la Wasabato hapa mwenge dar es salaam

Pamoja na kukosoa mara kadhaa baadhi ya " Itikadi" za kisabato zinazoenda kinyume na maandiko lakini nitasalia kuwa Muumini mtiifu wa Kanisa la Waadvetista Wasabato

Lengo langu sio uasi ila naweka sawa pale palipokaa vibaya huku lengo na tukiwa na tumaini kuu ni kukutana na Bwana wetu Yesu Kristo siku atakaporejea na Jeshi kubwa la malaika

Muwe na siku njema wapendwa
Makanisa mengine bwana, unaruhusiwa ku-chat ukiwa Kanisani?
 
Nahisii aliewatuma nae akidakwaaa hahaha
 
Hatua ya kwanza ni kuomba nafasi ya uongozi hapo kanisani upambane hadi ufike juu kwenye maamuzi ndo utaelewa kwanini mambo yapo kama yalivyo.

Angalizo, wanaharakati wengi wakifika hatua za kushika nafasi za maamuzi huwa hawafanyi tena waliyokuwa wanayapigania.
Mkuu Mimi nimeridhika na kuwa Muumini wa kawaida
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mkuu Mimi nimeridhika na kuwa Muumini wa kawaida
Ni sawa boss ila muumini wa kawaida hana nguvu ya kubadili sheria na taratibu, ataishia kutoa maoni tu unless aweze kushinikiza waumini wote wamuunge mkono huku akiomba asionekane muasi.
 
Kila la kheri mkuu
1997 hadi 1998 nilsali sana hapo
baadae nikahamia temeke SDA sababu walikuwa wanajali sana muda wa kumaliza ibada pia wana a very classic choir
Bila shaka tuliwahi onana hapo, nilikuwa Mzee wa kanisa 1995-2001, nikahamishiwa Mbeya.
 
Back
Top Bottom