Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Okay sawa umeona nini kilichopungua ama kilichoongezeka huko utujuze 🤔Lengo langu sio uasi ila naweka sawa pale palipokaa vibaya
Umemwambia mch wako hayaa else n unafiki kawambieehayaWadau hamjamboni nyote?
Siku ya leo ambayo ni sabato takatifu kwa mujibu wa maandiko nimeamua kuabudu kwenye Kanisa la Wasabato hapa mwenge dar es salaam
Pamoja na kukosoa mara kadhaa baadhi ya " Itikadi" za kisabato zinazoenda kinyume na maandiko lakini nitasalia kuwa Muumini mtiifu wa Kanisa la Waadvetista Wasabato
Lengo langu sio uasi ila naweka sawa pale palipokaa vibaya huku lengo na tukiwa na tumaini kuu ni kukutana na Bwana wetu Yesu Kristo siku atakaporejea na Jeshi kubwa la malaika
Muwe na siku njema wapendwa
Huwezi weka mambo sawa kwa ni wewe ni nani.Wadau hamjamboni nyote?
Siku ya leo ambayo ni sabato takatifu kwa mujibu wa maandiko nimeamua kuabudu kwenye Kanisa la Wasabato hapa mwenge dar es salaam
Pamoja na kukosoa mara kadhaa baadhi ya " Itikadi" za kisabato zinazoenda kinyume na maandiko lakini nitasalia kuwa Muumini mtiifu wa Kanisa la Waadvetista Wasabato
Lengo langu sio uasi ila naweka sawa pale palipokaa vibaya huku lengo na tukiwa na tumaini kuu ni kukutana na Bwana wetu Yesu Kristo siku atakaporejea na Jeshi kubwa la malaika
Muwe na siku njema wapendwa
AaahaaaVizuri ila tungependa kufahamu, wale Sabato Masalia waliotakaga kwenda ughaibuni kutangaza Injili pasipo kuwa na Passport wala VISA, wapo wapi??
Makambi huko kwenu mshamaliza? Nasikia yanachochea ngono kama nini!!Wadau hamjamboni nyote?
Siku ya leo ambayo ni sabato takatifu kwa mujibu wa maandiko nimeamua kuabudu kwenye Kanisa la Wasabato hapa mwenge dar es salaam
Pamoja na kukosoa mara kadhaa baadhi ya " Itikadi" za kisabato zinazoenda kinyume na maandiko lakini nitasalia kuwa Muumini mtiifu wa Kanisa la Waadvetista Wasabato
Lengo langu sio uasi ila naweka sawa pale palipokaa vibaya huku lengo na tukiwa na tumaini kuu ni kukutana na Bwana wetu Yesu Kristo siku atakaporejea na Jeshi kubwa la malaika
Muwe na siku njema wapendwa
Mwambaaaa sitowaasahauu nimewakumbhka sana nikiwa apart hahahaaa unforgatable sabathwale ndugu zenu waliotaka kwenda ulaya kuhubiri injili bila nauli wala Viza bado mnao? au wameanzisha kanisa lao
Wanagongana hatareeMakambi huko kwenu mshamaliza? Nasikia yanachochea ngono kama nini!!
Umeenda kusali au kutafuta makosa? Fungua kanisa lako perfect kama manabii na mitume wa siku hizi..Wadau hamjamboni nyote?
Siku ya leo ambayo ni sabato takatifu kwa mujibu wa maandiko nimeamua kuabudu kwenye Kanisa la Wasabato hapa mwenge dar es salaam
Pamoja na kukosoa mara kadhaa baadhi ya " Itikadi" za kisabato zinazoenda kinyume na maandiko lakini nitasalia kuwa Muumini mtiifu wa Kanisa la Waadvetista Wasabato
Lengo langu sio uasi ila naweka sawa pale palipokaa vibaya huku lengo na tukiwa na tumaini kuu ni kukutana na Bwana wetu Yesu Kristo siku atakaporejea na Jeshi kubwa la malaika
Muwe na siku njema wapendwa
Huwa unakosoa Kwa Mujibu wako wenyewe na kichwa chako?.Wadau hamjamboni nyote?
Siku ya leo ambayo ni sabato takatifu kwa mujibu wa maandiko nimeamua kuabudu kwenye Kanisa la Wasabato hapa mwenge dar es salaam
Pamoja na kukosoa mara kadhaa baadhi ya " Itikadi" za kisabato zinazoenda kinyume na maandiko lakini nitasalia kuwa Muumini mtiifu wa Kanisa la Waadvetista Wasabato
Lengo langu sio uasi ila naweka sawa pale palipokaa vibaya huku lengo na tukiwa na tumaini kuu ni kukutana na Bwana wetu Yesu Kristo siku atakaporejea na Jeshi kubwa la malaika
Muwe na siku njema wapendwa
Eeeeeh walipelekwwa sehemu mkuuu nahisi walipotokaa na dini walihiamaawale ndugu zenu waliotaka kwenda ulaya kuhubiri injili bila nauli wala Viza bado mnao? au wameanzisha kanisa lao