Taarifa Leo nimaabudu kwenye Kanisa la Wasabato Mwenge, nitaendelea kukosoa panapoenda mrama, nitaunga mkono palipo vema, lengo kuweka mambo sawa

Ibada hata haijaanza ila unakosoa.


Sali kwanza ndio uje kukosoa
 
Makanisa mengine bwana, unaruhusiwa ku-chat ukiwa Kanisani?
 
Nahisii aliewatuma nae akidakwaaa hahaha
 
Mkuu Mimi nimeridhika na kuwa Muumini wa kawaida
 
Reactions: Tsh
Mkuu Mimi nimeridhika na kuwa Muumini wa kawaida
Ni sawa boss ila muumini wa kawaida hana nguvu ya kubadili sheria na taratibu, ataishia kutoa maoni tu unless aweze kushinikiza waumini wote wamuunge mkono huku akiomba asionekane muasi.
 
Kila la kheri mkuu
1997 hadi 1998 nilsali sana hapo
baadae nikahamia temeke SDA sababu walikuwa wanajali sana muda wa kumaliza ibada pia wana a very classic choir
Bila shaka tuliwahi onana hapo, nilikuwa Mzee wa kanisa 1995-2001, nikahamishiwa Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…