Taarifa Leo nimaabudu kwenye Kanisa la Wasabato Mwenge, nitaendelea kukosoa panapoenda mrama, nitaunga mkono palipo vema, lengo kuweka mambo sawa

Ni sawa boss ila muumini wa kawaida hana nguvu ya kubadili sheria na taratibu, ataishia kutoa maoni tu unless aweze kushinikiza waumini wote wamuunge mkono huku akiomba asionekane muasi.
wasabato tunacheza na biblia tu, hivo hata uwe askofu huwezi kutubadilishia kitu
watu wote ni wajuaji kama generation Z wa kenya
hatujafundishwa kumnyenyekea mtu kwa cheo chake bali kwa uelewa wa maandiko
 

Si ungekutana na balaza la walei ili uwashuri hilo? Huku ni kana kwamba unapoteza muda tu. Hakuna anayejali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…