Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

Kwani si tulikubaliana ni ugonjwa wa moyo? Haya ya kovidii yamekujaje tena?
 
Roho ziko mikononi mwa Mungu sema hawa wahuni wanazingua sana
 
Hakuna mtu aliyelifanya bunge mali yake isipokuwa yule aliyewaambia wakurugenzi hawezi kuwalipa mishahara na kuwapa magari halafu watangaze mpinzani ameshinda.
Yaani Kuna watu wanawaza kurudi bungeni kabla ya 2025? Hawa walifanya bunge Mali yao na hawataki kufuata katiba kwenye njaa zao.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Vipi mumepanga kumteka kama wale wengine ambao mpk sasa Hatujui mumewapeleka wapi?? Acha mara moja utajuta.
 
Aliekuwa anawapa kiburi kaenda zake[emoji23] [emoji23]
 
Mkuu hiyo nafasi ya kujirekebisha kapewa na wakina Nan?
 
Hawezi kukujibu alijiandikia tu,

Doesn't make sense wabunge waondolewe bungeni uchaguzi ufanyike upya, katiba haisemi hivyo.
Wabunge wanaoongelewa hapa ni wale wa upinzani waliopo bungeni kinyume na matakwa ya chama chao.

Taarifa tulizonazo ni kuwa vijana wazalendo pale 'stpeters' wanayo ripoti inayoonesha kuwa katika majimbo 73 waliotangazwa sio walioshinda. Hapa tumeomba uchaguzi urudiwe.
 
Mkuu 'theState' ina wajibu juu ya taifa tu. Haina 'feelings' towards or against any individual. We are only loyal to the nation.

Pia taasisi hii tangu kuasisiwa kwake haijihusishi na vitendo vya mauaji au kuleta maumivu kwa watu.
 
Tumia akili Oya mkuu huu uteuzi wa makamu wa rais kuwa Dr. Mpango. Je ndo sababu ya operation kusitishwa , mana nae aliponea chupu chupu. Je kwa uteuzi huu tunaenda Kama ulivyo ongea hapo juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu 'theState' ina wajibu juu ya taifa tu. Haina 'feelings' towards or against any individual. We are only loyal to the nation.

Pia taasisi hii tangu kuasisiwa kwake haijihusishi na vitendo vya mauaji au kuleta maumivu kwa watu.
Neno taifa lina maana gani kwa uelewa wako?
 
Mimi nilidhan amemaanisha hao wabunge wa chadema sio halal maana wamefutwa uanachama hivyo watolewe bungen

Kwamba watajua matukio ya uhalifu? Hii labda Mungu pekee anaweza kujua. Ni kama alimaansha yale mambo ambayo yanakuwa yamepangwa na viongoz ili wayatekeleze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…