Rais Wa Malofa
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 683
- 782
Hayo mapesa ya kurudia uchaguzi si bora wayaweke Kwenye ajira za vijanaAchaguzi urudiwe,ngoma iwekwe kati tuone CCM itakovyobuluza,tena mbuluzo wa haja kuzidi uliopita"kundanda ndeki"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mapesa ya kurudia uchaguzi si bora wayaweke Kwenye ajira za vijanaAchaguzi urudiwe,ngoma iwekwe kati tuone CCM itakovyobuluza,tena mbuluzo wa haja kuzidi uliopita"kundanda ndeki"
Kwani si tulikubaliana ni ugonjwa wa moyo? Haya ya kovidii yamekujaje tena?Msitishe Madame President, Tanzania iko imara na Hayati John P. Magufuli alifariki kifo Cha kawaida na kila mtu anajua na sio ule utabiri wako feki.
Pengine sababu kuu ni ukaidi wake wa namna ya kupambana na COvid-19 na kisha akaji- expose kupita kiasi ili Hali alikuwa katika kundi hatarishi. Hili lilionekana dhahiri na hata lilionekana wazi linaweza muathiri kama ilivyotokea kwa Mkurunzinza.
You're nobody...wewe ni kama wasaliti wengine walioko kwenye serikali wenye access ya information muhimu ambao wanavujisha kabla hazijatangazwa.
Roho ziko mikononi mwa Mungu sema hawa wahuni wanazingua sanaKama wewe ni mwana usalama, basi hii nchi tuko uchi kila sehemu
Kama mnafanya tukio kubwa kama hili na mnakuja kujisifu mitandaoni, sishangai kigogo akijua kila kinachofanyika ikulu
kama hii nchi ina wana usalama wengi kama wewe, narudia kusema tuko uchi na na tumeweka roho na rasilimali zetu mikononi mwa wajinga sana.
Ujinga wa kurudia uchaguzi usiwepo,hizo pesa ni bora hata wawape kifuta machozi vyeti hewa na waliobomolewaHayo mapesa ya kurudia uchaguzi si bora wayaweke Kwenye ajira za vijana
Yaani Kuna watu wanawaza kurudi bungeni kabla ya 2025? Hawa walifanya bunge Mali yao na hawataki kufuata katiba kwenye njaa zao.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Vipi mumepanga kumteka kama wale wengine ambao mpk sasa Hatujui mumewapeleka wapi?? Acha mara moja utajuta.Kama wewe ni mwana usalama, basi hii nchi tuko uchi kila sehemu
Kama mnafanya tukio kubwa kama hili na mnakuja kujisifu mitandaoni, sishangai kigogo akijua kila kinachofanyika ikulu
kama hii nchi ina wana usalama wengi kama wewe, narudia kusema tuko uchi na na tumeweka roho na rasilimali zetu mikononi mwa wajinga sana.
Aliekuwa anawapa kiburi kaenda zake[emoji23] [emoji23]Hao ni wabunge wa viti maalum, uchaguzi utafanyika vipi wakati Chadema inasema haiwatambui na hawatapeleka wabunge wa viti maalum bungeni??
Jamaa alijiandikia tu kwa utashi wake ila sio kwa kuwa anafahamu lolote.
Anadai tukio lolote wao wanakua na taarifa wiki moja kabla, huo ni uongo , atuambie basi kama alikua na taarifa za mauaji ya mtangazaji wa ITV wiki moja kabla.
Swari zuri.Imeamuliwa kusitishwa na nani ?
Mkuu hiyo nafasi ya kujirekebisha kapewa na wakina Nan?Jambo unalopaswa kujua ni kwamba 'hatma' ipo kwenye ule ujumbe wa rais ambaye hajawahi kugombea ila fursa ya 'neema' inaachiliwa kufanya remedy.
Hakuna maono ambayo hayapo subject to changes. Ikiwa tu zile condition zilizopelekea maono zitabadilika basi maono pia yaweza kubadilika.
Madam president kaonesha tofauti na hapa anapatiwa nafasi ya kufanya namna inayobadilisha maono.
Asipofanya ile dhamira ya awali inakuwa na uhalali kuendelea.
Wabunge wanaoongelewa hapa ni wale wa upinzani waliopo bungeni kinyume na matakwa ya chama chao.Hawezi kukujibu alijiandikia tu,
Doesn't make sense wabunge waondolewe bungeni uchaguzi ufanyike upya, katiba haisemi hivyo.
Mkuu 'theState' ina wajibu juu ya taifa tu. Haina 'feelings' towards or against any individual. We are only loyal to the nation.Kama wewe ni mwana usalama, basi hii nchi tuko uchi kila sehemu
Kama mnafanya tukio kubwa kama hili na mnakuja kujisifu mitandaoni, sishangai kigogo akijua kila kinachofanyika ikulu
kama hii nchi ina wana usalama wengi kama wewe, narudia kusema tuko uchi na na tumeweka roho na rasilimali zetu mikononi mwa wajinga sana.
Muambie huyoMkuu 'theState' ina wajibu juu ya taifa tu. Haina 'feelings' towards or against any individual. We are only loyal to the nation.
Pia taasisi hii tangu kuasisiwa kwake haijihusishi na vitendo vya mauaji au kuleta maumivu kwa watu.
duh!Vipi mumepanga kumteka kama wale wengine ambao mpk sasa Hatujui mumewapeleka wapi?? Acha mara moja utajuta.
Neno taifa lina maana gani kwa uelewa wako?Mkuu 'theState' ina wajibu juu ya taifa tu. Haina 'feelings' towards or against any individual. We are only loyal to the nation.
Pia taasisi hii tangu kuasisiwa kwake haijihusishi na vitendo vya mauaji au kuleta maumivu kwa watu.
Mimi nilidhan amemaanisha hao wabunge wa chadema sio halal maana wamefutwa uanachama hivyo watolewe bungenHao ni wabunge wa viti maalum, uchaguzi utafanyika vipi wakati Chadema inasema haiwatambui na hawatapeleka wabunge wa viti maalum bungeni??