Nuraty J
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,729
- 3,831
ahahaMaamuzi ya Kumuuza Mkalimani yatafanywa lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahaMaamuzi ya Kumuuza Mkalimani yatafanywa lini?
Ivi hii pic kwa Avatar yako ni wewe mwenyewe ?ahaha
😂😂😂Mkuu Tumia akili
Kuna wahitimu wa vyuo hawapata ajira tangu 2015.....
Mtishie Mama kwa hilo tafadhali😂
Hawezi kukujibu alijiandikia tu,Kwamba kama na yeye akienda kinyume atatangulizwa kuzimu !?
Hivi mkuu waweza kutupa sababu kama 2 au 3 zilizopelekea deep state imuondoe mzee wa chato !?
Hawezi kukujibu alijiandikia tu,Kwamba kama na yeye akienda kinyume atatangulizwa kuzimu !?
Hivi mkuu waweza kutupa sababu kama 2 au 3 zilizopelekea deep state imuondoe mzee wa chato !?
Ha haIvi hii pic kwa Avatar yako ni wewe mwenyewe ?
Mimi nimeelewa labda wale wabunge wa chadema walioingia bila ridhaa ya chama chao maana kasema wabunge wasiokuwa halali.Hawezi kukujibu alijiandikia tu,
Doesn't make sense wabunge waondolewe bungeni uchaguzi ufanyike upya, katiba haisemi hivyo.
Nyie ndo mnampelekea taarifa Kigogo2014, au ndo ww Kigogo mwenyewe !!!Halafu mkuu taarifa unayopata wewe kwenye media siku ya leo basi mara nyingi inakuwa mezani kwetu karibu wiki nzima kabla.
Mfano maamuzi ya leo wewe unaona yametolewa pale wakati anaongea live? Kama hivi ndivyo unafikiri basi, 'karibu upande wa pili'.
Dalisalama ni mkoa ujue!!!!!!. Hahaha. Jamaa alipatwa nongwa jiji la Wapinzani akalifutilia mbali. Mungu si Athmani....serikali ingerudi Dar ingependeza zaid
Hao ni wabunge wa viti maalum, uchaguzi utafanyika vipi wakati Chadema inasema haiwatambui na hawatapeleka wabunge wa viti maalum bungeni??Mimi nimeelewa labda wale wabunge wa chadema walioingia bila ridhaa ya chama chao maana kasema wabunge wasiokuwa halali.
Huyu sio wa kumchukulia mzaha, he is loaded!Mimi huyu mwanzisha mada simpingi .... mada zake zinatisha!
Yaani Kuna watu wanawaza kurudi bungeni kabla ya 2025? Hawa walifanya bunge Mali yao na hawataki kufuata katiba kwenye njaa zao.Uchaguzi wa wabunge kurudiwa ni ndoto za mchana.Hakuna siku atakubali hilo lifanyike.
Jikite 2025 kwa sasa.
Mku nasubiria hill fao kwani nimesotea vya kutosha na ni kilio kwa wengiJamaa haandiki kwa hisia anaandika kwa utafiti kabisa kuna mwanga mkubwa unakuja