Umekua wa kufariji watu teena ,afu ukimaliza kumfariji nini kinafwata?
Mentor nammiss sana huyu dadakoUmemuona @beibe nasty lakini!??
ayaaaa..na hao wote ukute wana wao wa pembeni..
mie nitoe kwenye orodha....
Nani akutake screpa?
Ahahahaa screpa iwe ndege ya rais wako na mie pia mwaaaaaah
....hayaKurudi home bby nothing more
The secretary ndoa yetu unaitaka huitaki?yaani mi kwenda ujerumani kidogo imekuwa tabu? Huyo eliki nani yako?