Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
Hahahahahahaha..lools..na wewe ndo m/kiti!Subiri majibu miezi tisa baadae ndo utajua kama ulikula peremende au ulicheza na mende....!!
Hahahahahahaha..lools..na wewe ndo m/kiti!Subiri majibu miezi tisa baadae ndo utajua kama ulikula peremende au ulicheza na mende....!!
Mmmmmmmmnnnnnnhhhh
Bby unafunguka hata huogopi...kumbe na Arabela hua unampatia!
Baba V unanitafuta ubaya eeeh
We endelea uone dawa yako
kwa hiyo kama yuko single ndo alikwambia anataka kuwa dabo na mwalimu wake! Kaizer kuja hapa na essay yenye kushiba nyama na mifupa yenye akili
Nikutafute ubaya mimi..!? ngoja polisi wa Arusha wakudabue ndo utajua anaekutafuta ubaya ni nani!? na siku hizi mlivyojianzishia kujíita mabilionea... hakuna rangi utaacha ona mwaka huu...
kwani akikaa nyuma ngalawa haifiki?
hebu soma tena swali mwalimu? kuna mtu amekupa zanzi asubuhi hii? tema tumchape
hahahahhah zanzi zingine zimechanganywa na ulaka ujue!
cha!
ila kweli kwanini nahodha wa ngalawa anakaa nyuma?
akikaa mbele safari hendi?