snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
Last edited by a moderator:
Kanipa peremende
...
.....Habari zenu wajameni.Jamani nipo mzima kabisa naENDELEA NA MAJUKUMU YANGU VIZURI.
.............Mwambieni Mamndenyi namtafuta.....
Hahahahahahaha weeee napenda sanaPenda sana peremende, zitakumimba.... shaurilo....
Hahahahahahaha weeee napenda sana
Nakufundishaga somo gani?!
Penda sana peremende, zitakumimba.... shaurilo....
....mbona mie sijavimba! au zina safura niniRaha ya peremende kuvimbaaaaaaaa
....mbona mie sijavimba! au zina safura nini
....mbona mie sijavimba! au zina safura nini
Mmmmmmmmnnnnnnhhhh
...yani umetoka hata sijaamka,usijali...leo uwahi kurudi,sawa?Wewe huwezi mpenzi..haya ni maneno tu ila ww na mimi tunajua mpango mzima.
Vip umeamkaje?
Nimekuota mwaya hadi nikatamani nirudi nyumbani walau nikuone then niendelee na mishe